Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mficha uchi HAZAI,...

>> Wednesday, September 28, 2011

... na kwa bahati mbaya tatizo hilo humpata pia MFICHA ujinga ,....
...... kwa kufanya kuna  heri  KIUELEWAJI hazitatotolewa kwa HUYO kwa kuwa,...
...MJINGA kaficha UJINGA hata kama sio chupini!:-(

Swali:
  • AU?
  • Na si unajua kuna UHURU ujao na kuweka jambo WAZI? 
  • Ndio  mimi ni mjinga na nafikiri nina dhambi-WEWE je?
Ndio,...
....ukificha GONO  ili mtu mwingine hata kama ndiye DAKITARI asijue,...
... unaweza kukatika kidude au harufu ikaumbua kwa kuwa nanihii inamchezo wa kuoza hata kama imefichwa chini ya GWAGURO safi na la bei MBAYA!:-(


Tunakumbushana  ki-UjingaBUSARA tu hapa   MHESHIMIWA!
Jumatano NJEMA!

Hebu Upendo NKONE alete injili kidogo kwa-Usifurahi juu yangu


Tupitie kiduchu Pakistani na kumbushwa ya ALLAH na SAIN ZAHOOR AHMED katika kibao kizito-Allah Hoo



HALAFU  turudi tu BENIN ili mwanadada RAMOU abadili  MCHEZO MZIMA na kuweka mnuso live kwenye -Wen Vive



Na hapahapa BENIN hebu  Zeynab aingilie na kumalizia hii sesheni kwa kudinya - Aye Le

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:58 pm  

Ahsante kwa kutukumbusha ni wazo jema!! Jumatano njema pia jioni njema..na..mmhhh

Rachel Siwa 5:40 pm  

Bwana hawezi kukuacha, ukianguka atakuokota, siyo mimi niliyetonesha hayo kaka ni Upendo!!!! Mficha malaradhi............

Simon Kitururu 3:51 am  

@Mtoto Mzuri Yasinta: Asante kushukuru!
@Da Recho: MMmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP