Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UTAMU ukizidi sana LABDA HAYO tayari NI MAUMIVU hata kimuanzo tu aisee!

>> Thursday, September 15, 2011

Na labda ni kweli,....
....... ukianza tu kuzidisha kistuacho ni ustukiavyo UTAMU ubadilikavyo ,...
... kikuelekea kwenye UCHUNGU ambao unaweza kuitwa MAUMIVU na baadhi aisee!:-(

Swali :
  • Si kitu  kikizidi  kuna wadaio INAUMA?
  • Na si ni kweli MAUMIVU ya GHAFLA  sio kweli kila aumiaye ndiye huumia  kwa kua alipogusa tu  kidogo AKAUNGUA ?
  • Si kiasi hata cha SUKARI KIASI  kwenye hata chai ndio siri ya chai nzuri kiutamu?


Ndio,....
.... kuzidisha  kama tu KUPITILIZA,....
...... labda kuna MTU anaumia na ndio maana labda kwa kuwa DUNIA hii kuna waliozidisha HATA kwa kujilimbikizia hata chakula  ndio  kitu ambacho huacha wengine na maumivu ya NJAA!:-(


NI wazo tu hili,...
.... na tutaonana hapa kijiweni KESHO,.....
.....MOLA akipenda!:-(



Au hebu tu tugewe Myahudi Juif aanzishe kwa -Mtu Akipenda




Kidum na Sana waingilie kati kwa-Mulika MWIZI





Halafu Snoop Dogg , The Dogg Pound na The Dramatics  waharibu tena kwa - Doggy Dogg World



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP