Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kujilazimisha furaha yasemekana kuna WAJICHEKELESHAO mbele za WATU!

>> Tuesday, September 13, 2011

Ila ,....
..... yasemekana ,....
......... ukijihuzunisha  inalipa  ,....
..... kwa kuwa unaweza kujikuta umefanikiwa kuwa na HUZUNI!

Swali:
  • SI lakini kwa kujichekelesha kunawafikiao KUCHEKA kikweli?

Ndio,....
........ nasikia wenye roho nzuri hata kwa kumuonea huruma ajitahidiye kuchekesha,....
..... hujichekesha ili angalau ajaribuye KUCHEKESHA afikirie ni kweli MATANI YAKE yawezayo KULIZA MTU ni kichekesho!


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!



Hebu Charles Bradley aanzishe upya kwa kurudia- Why Is It So Hard




Au tu hebu tu tena Trombone Shorty alainishe kidogo kwa kurudia - Something Beautiful



Lenny Kravitz aingilie kati wimbo wa Trombone Shorty na kurudia - Something Beautiful




Au tu Lenny Kravitz abakie mwenyewe kwa - It Ain't Over Til It's Over


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

sam mbogo 7:22 pm  

Furaha,haina kipimo,ila nikweli waweza kujilazimsha furaha,kutokana na mazingira yalio kuzunguka..Ila furaha ya kweli hailazimishwi,bali huja yenyewe,ambapo tabasamu ni kielelezo tosha ya furaha uliyo nayo.si umesha situkia mtu akipiga tabsamu la kulazimsha na matokeo yake anakuwa kama analia!!. kaka S.

Simon Kitururu 9:15 am  

@Kaka S:Kweli kabisa kuna matabasamu mpaka unamuhurumia anayetabasamu!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP