 |
Tabia Mwanjelwa |
Ombi kwa mwenye kufahamu ;
- Jamani kuna mtu anajua nitapata wapi nyimbo za huyu MDADA hasa zile za zamani?
 |
Tabia Mwanjelwa akitekenya gitaa |
 |
Tabia Mwanjelwa kazini |
Ni hilo tu,
-Simon KITURURU.
Picha zake nimezitoa HUKU ,.. ......TUTAFIKA TU BLOG kwa EDO NDAKI ambaye yuko kimya siku hizi!
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Sasa kama wewe Gwiji huna sisis tutapata wapi?
Wasiliana na Mubelwa au Subi!
@Mkuu CHIB: Nimejaribu kutafuta ila sijapata bado. Ngojea niwaulizie ulionishauri!
Post a Comment