Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda UNAPENDWA jamani KIJEBA kama tu apendwavyo KIGOLI!

>> Thursday, September 29, 2011

Na kumbuka tu akikosea  vyanzo vya sifa MTU ,...
.... anaweza kukonda kwa kufikiria HAPENDWI,.... 
... kisa ni mpenda MCHICHA na wakati huo yuko kwa Wazee wa KITIMOTO.:-(

Swali:
  • Si unajua kila mtu katika apendacho -NI ukorofi  KIKUKOROKOCHOA kabisa kitu fulani kwa mtu fulani MWINGINE ?
  • Na si kama unapendwa na MAMA yako  labda huo ni ushahidi wapendayo apendayo MAMA YAKO wanakupenda pia  na kwa kuwa wao sio MAMA YAKO labda ni ruksa wakupendavyo uchi kiutuuzima?

Ndio LABDA  unapendwa,...
... na kama  hujiamini halafu  unang'anga'ania au tu uko kwa wasiohusudu yako,...
.... unaweza kuamini pia kuwa YAKO HAYALIPI na HUPENDWI,...
... kitu ambacho huweza kuwa ni ``SHAURI ZAKO aisee!´´:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA,...
.......unayependwa na usiostukia PENDO LAO!:-(

Hebu Dj Nkoh aanzishe upya kwa kupindisha kwa- Zulu Love Letter



Dj Nkoh ajaribu kuongezea pia ujazo kwa - Kabishi



Au tu Yvonne Chaka Chaka abadili zaidi tena kwa - Thank You Mr DJ



Halafu azime tu kwa -Motherland

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP