Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hongera WAASI wa NANIHII kwa kutuletea MASHUJAA wananihii!

>> Tuesday, September 20, 2011

Saresare MAUA  ya NANIHII  mpaka kimawazo,....
.... huzaa mpaka KONDOO  WA NANIHII ambao shughuli ni KUFUATA tu  NANIHII  hata kwenye mlo au UTAMU tu wa NANIHII  usio sumbufu hata kama ni NYASI kwa kuwa inaaminika hauchubui NANIHII.


Swali shwari:
  • Si umestukia watu wengi wasivyopenda WASIYOYAPENDA bila kukumbuka wasiyoyapenda labda ni siri ya upendaji wao wa WAYAPENDAYO?

Ndio,...
........ vikuumizavyo  nanihii LABDA ,...
......... ndivyo huongezea jinsi usikiliavyo MPAKA utamu  wa YASIYOKUUMIZA NANIHII  hata yale yakuvimbishayo BICHWA kama NANIHII!:-(
Swali:
  • Unabisha?


Ndio,...
.... labda SHUJAA umsifiaye  kama RAIS MANDELA,...
.... asili ya USHUJAA WAKE  ni kwa kuwa kulikuwa na WAASI  ambao yeye alikuwa mmoja wao,....
........ kitu  kifanyacho  hata  kujisikia vizuri kwa wajisikiao ni WATU wazuri labda ni kwa kuwa  TU kuna watu wabaya na kisiri inaweza kuwa ajisikiaye ni mtu mzuri anajua kitu hasa kwa kuwa alishawahi kuwa mtu mbaya hata kama ni  KIUCHOYO wa kuwanyima wenye  NJAA ya kidude NANIHII wakati alikuwa nacho huku anahamu ya KUKITOA KIMGAO   kwa kuwa haingemdhuru ANGEMGAWIA ANGALAU NANIHII ,...
.....ila kiutu ubaya alinyimia NANIHI ile NANIHII!:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu FRANKIE PAUL aanzishe upya kwa-SHUB IN




FRANKIE PAUL aongezee dozi kwa pini-SARAH



Au hebu tena LUCIANO aingilie kati nakumalizia kwa -Ulterior MOTIVES


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:15 am  

KAZI KWELIKWELI!!

Simon Kitururu 8:43 pm  

@Yasinta: Si utani kazi ipo!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP