Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwako DANGANYATOTO shibe!

>> Friday, September 23, 2011

Nimestukia   wanihadaa eti NIMESHIBA,..
..... eti  chakula  kimentosha,...
.... wakati  kushiba ni mwanzo  wa NJAA nyingine ihitajiyo SHIBE.

Wanifanya leo kwa KUSHIBA,...
....nidhanie imetosha,...
.... wakati kesho na kesho kutwa bdo ntahitaji SHIBE.

Kwa DANGANYATOTO shibe,...
.....ingekuwa unabonge lakichwa  na nimeshiba,...
...... ningekubwenga bonge la konzi  BWE! la kutosha,...
..... kwa kunilaghai japo kwa muda kwa kushiba  na kujisahau we ni DANGANYATOTO shibe

Swali:
  • SI umestukia UKISHIBA  si baada ya muda mrefu kifuatacho ni kujiuliza utakula nini tena?

Ndio,...
... SHIBE kama  NGONO,...
....... hata ushibeje sasahivi na KUVIMBIWA  ,...
.........................labda hiyo ni DANGANYATOTO.

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Ijumaa na WIKIENDI njema MKUU!


Hebu Issa Bagayogo aanzishe vita upya kwa - Diarabi




 SHADOW aingilie kati kwa-The Storm



SWADOW aongezee dozi kwa-Children Ting


Au tu SHADOW azime manyanga  kwa-The return of SHADOW


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:49 am  

Au pia ni ugonjwa....wikiend njema kwako pia kaka mpendwa Simon Kitururu!!!

Simon Kitururu 12:30 pm  

Asante Yasinta!

Yasinta Ngonyani 1:47 pm  

Simon nina ujumbe wako na ni muhimu TAFADHALI!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP