Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA ni kweli ni SIDILIA ihitajiyo MATITI!:-(

>> Sunday, September 11, 2011

Ndio,...
.........labda LAKINI ni MATITI yenyekufurahia kuwa kuna MATITI,...
... kuliko SIDILIA istukiavyo  kwenye bonge lakifua la MWANAMKE,...
.... kikibonge ,...
.....kimfurahio  labda ni titi na sio SIDILIA ndio siri ya FURAHA YA SIDILIA,...
.... kuwa LABDA hata kama  kwa SIDILIA mdada mwenye BONGE LA NYONYO ambaye ni mnunuzi wa mpaka MBELEKO ya  HOTELI ya MTOTO KITITI  hata kwake SIDILIA NZURI MARA NYINGINE NYINGI labda kwenye SIDILIA sio SIDILIA  ndio kistukiwacho  KISHUGHULI hata za baada ya KUOGA  hata kama sio kwa kuwa labda  kwenye HATA kipele kilichoiva  shughuli ipo KISIDILIA kuliko KITITI hata kama hata kikipele sasa hivi HATA KIPELE KILICHOIVA KIJIPU hakibinywi mtu kwenye JIPU la titi!:-(!:-(

Swali:

  • Si labda ni UGALI uhitajio SUFURIA zaidi ya SUFURIA lihitajivyo UGALI kwa kuwa eti sufuria hilohilo huweza kimpikilisho kupikikilia mpaka MATEMBELE? kimboga?
  • Kwani  hata kama sio utani nitoneshao hapa UNAFIKIRI ni MATITI ndiyo yaliyona hamu ya KIFUNIKO au kifuniko cha chuchu labda ni janja ya TITI?
  • Si unakumbuka kutonielewa ``RUKSA´´?

Ndio,...
....labda utundu HATA  kwa kifikiriwacho`` kina HITAJI´´,...
.... janja ya HITAJI  labda ni mpaka ILE ya yule ``MWENYE HITAJI´´ kwa kuwa mahitaji YASEMEKANA  huhitaji  MARA NYINGI mpaka´` mwenye HITAJI `´,...
.... na nahisi na labda´hata kama  NAAMINI HIVYO  NILIVYODOKOZEA pia hata kama kwako KIMDOKOZEA taralila imekaa  kinyoko,...
....``HITAJI ´´na`` MAHITAJI ´´hata kabla hatujamuongele MWENYE HITAJI ambaye labda ndiye MUHIMU ZAIDI kwa kuwa  ndiye mtengezaye HITAJI na MAHITAJI,....
....labda HAYAYOTE NIDOKEZEAYO  ni swala lisilo RAHISI kihivyo aisee hata kinyoko!:-(

NI wazo tu hili MHESHIMIWA!!:-(

Hebu tu Joseph hill aanzishe upya tena kwa ndude ileile-I tried




Manu Chao arudishe mlambo ule - Me gustas tu



Au tu Queen Latifah amalizie tu tena kwa kukuna kipele kwa - U.N.I.T.Y.

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:27 pm  

Duh! kaaazi kwelikweli!! Jumapili njema mtu wa mawazo!:-(

Unknown 1:58 pm  

Mh..!!!!

Simon Kitururu 2:04 pm  

@Mtoto mzuri YASINTA: MMMMmmmmmh!
@Rasta MCHARIA:DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP