Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAIMUNA angekuwa na KILA kitu,....

>> Friday, September 23, 2011

 ... labda angehatarisha  HAMISI  kuwa na KITU,...
.... hasa kwa kuwa labda matakwa ya WENGINE ndio  yasaidiayo kutupa  hata kazi zenye mishahara itusaidiayo na siye kuwa na kitu!:-(

Swali:
  • SI matakwa ya wengine -KWETU  wengine ndiyo shughuli zetu?
  • Na si labda kila MTU angekuwa na kila KITU kusingekuwa na DUNIA tuijuayo ambayo ni ya nipe NIKUPE?


Na kwa kuwa hatuna kila kitu,...
.... labda ndiyo moja ya sababu  tunajisikia tukiwa na kitu,...
.....hata tukiachilia mbali kuwa hilo ndilo lisababishalo na wengine wana kitu hata kama ni kwa kujisikia tu kuwa HAWANA KITU!:-(


Swali:
  • SI bado ni aina ya kitu kwa MTU kujisikia hana kitu?

Ni wazo tu hili kimpindo MHESHIMIWA!





Hebu Tabia aanzishe  upya kwa-Own Man



Tabia aongezee dozi kwa - They Lie



 BOMANI aingilie   kati tena  kwa - LA BUSH



Halafu  tu tena Tamisha amalizie kwa -Badder Dan Dat



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP