Aogopaye KUFURU za hata DENDA labda katika kuogopa KUKUFURU huyo kashakufuru KIMAWAZO kuwa kala DENDA!
>> Wednesday, September 14, 2011
Na tukiachana na denda yasemekana,...
..... hata aogopaye dhambi ILE tamu KIKUZINI ambayo labda sio kufuru kimtazamo wa baadhi,...
........ inatokana na kuwa HUYO MHESHIMIWA kashafikiria KUZINI halafu akakuunganisha na wazo la nini ni DHAMBI!:-(Swali:
- Si inasemekana kuna dini zidaizo DHAMBI si ile ya VITENDO tu kwa hiyo ukiwaza kukorokochoa labda ushaibuka na dhambi ya kukorokochoa?
- Na kwani KUKUFURU ni mpaka wanadamu wengine wastukie mtu kakufuru?
Ndio,...
.... KIMAWAZO labda aliyekwenda jikoni kudokoa mboga ikashindikana kwa kuwa mpishi bado yuko jikoni,........ kiaina huyo bado ni MDOKOZI wa mboga ingawa kikitendo bado hajadokoa mboga!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Hebu moja kwa moja Amampondo aanzishe vita upya kwa ‐ Nomabongo
Halafu KAKAMAN amalizie kwa lile pini-Kama noma
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment