Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tupendao TWADANGANYWA kirahisi na MPENZI!

>> Friday, September 30, 2011

Na yasemekana MPENZI  husikilizwa kirahisi,....
...... hata kama  kisemwacho ni UONGO,...
.... kisa KAPENDA!


Swali:
  • Si adui yasemekana haaminiki  hata katika yasiyoadui kirahisi kisa ni ADUI?



Na kwa MPENDWA,....
...... labda tumia nafasi hiyo kutodanganya,...
.... kwa kuwa katika ndege wawili wafao kwa jiwe MOJA wewe waweza UA elfu ,...
... ikiwa ni mpaka ROHO ya akupendaye!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!:-(


Blaq Poet aanzishe upya kwa kurudia - Ain't Nuttin' Changed


Blaq Poet aje na N.O.R.E. walime - Hate



N.O.R.E. wabaki peke yao katika - Nothin'



Erick Sermon na Redman wa- React




Pharoahe Monch azime kwa - Simon Says



Ndio,...
....tuendelee tu na SIKU Mkuu!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP