Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MH. ABBAS KANDORO KARIBU; HII NDIO MBEYA YETU! NA HAYA NDIO MAISHA YETU!

>> Tuesday, September 20, 2011

Mkuu Mpya wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro baada ya kumaliza kula kiapo cha kuutumikia Mkoa wa Mbeya.
Soko la Sido Mwanjelwa Mbeya likiwa linateketea mwishoni mwa wiki iliyopita.
Muathirika wa Mashambulizi ya kupigwa Nondo na watu wasiojulikana ndani ya Jiji la Mbeya.
Soko la Forest Mbeya, baada ya Soko la Sido Mwanjelwa kuungua likafuata na hili kuungua.

KAPINGAZ Blog kwa kutambua utendaji kazi wa Mh. Abbas Kandoro akiwa Mwanza na Dar es salaam ambayo yote haya ni Majiji tunategemea haya yote ambayo yanawaathiri watu wa Mbeya hasa kiuchumi kwa kuipoteza nguvu kazi yao yanaweza kwisha au kupungua kwa kiasi kikubwa sana kwa kupangiwa kwako Jiji hili.
Tunaomba wana Mbeya wote wake kwa waume, vyombo vyote vya usalama na Taasisi zote wampe ushirikiano ili majanga haya yote yaweze kuisha kabisa.
Kutoka kwa :
Henry Kapinga wa KAPINGAZ blog

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP