Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Cesaria Evora ang'atuka toka ulimwengu wa muziki !

>> Tuesday, September 27, 2011

Cesaria Evora kazini!



Kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa MOYO.....
..... Mwanamama CESARIA EVORA  kutoka Cape VERDE kashauriwa kuacha MUZIKI.

CESARIA ni moja ya wanamuziki kutoka AFRIKA niwapendao SANA!

HABARI zaidi kongoli HAPA au HAPA

PUMZIKA  MAMA na nakutakia MAISHA MAREFU!


Ngojea mie niendelee kukusikiliza,...
.... katika Miss Perfumado



Africa Nossa



Besame Mucho



Au tu hebu alete tena na -Angola

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP