Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati KIPELE kinawasha,...

>> Sunday, September 11, 2011

.... labda BADO  sio ustaarabu KUKUNA KIPELE hadharani ,...
.... kwa kuwa tu UNAWASHWA kipengele na unahisi matibabu ni KUJIKUNA kiharage!:-(


Swali:
  • Kwani unafikiri kwa kuwa MTU ana jipu basi  kistaarabu inabidi jipu LIBINYWE hata chumbani kusiko hadharani?
  • Halafu eti ni kweli ili JIPU lisikiliziwe KIJIPU  eti labda ni lazima JIPU liiive?


Ndio,...
.... labda ni kweli moja ya ujanja wa kuishi na KIPENGELE hata cha KIPELE ,...
... inasemekana LABDA bado ni jinsi ya KUISHI NA KIPENGELE CHENYE KIPELE  huku kama HATA kimedindisha MAMBO MARIDHAWA kinanihiii,..
.... labda TIBA bado sio kukitafutia KIPENGELE  kitobo cha  USHIBISHO hata kama ni kile chenye utoko KIMARIDHAWA.:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
JUMAPILI njema MKUU!:-(


Hebu tu Chalkdust arudishe kimuanzisho upya kwa  - Hymns My Parents Sang




Chalkdust aongezee dozi kwa - Ah Not In Dat




Huyuhuyu Mighty Chalkdust aongelee pia - What the hell you want



Au tu RAY J aje na tu kimalizio na Yung Berg katika kutonesha-Sexy Can I



KABLA  tu Buju Banton hajaingilia kati  na kuharibu kwa - Boom Bye Bye



HALAFU  tu Peter Tosh aongezee mtanuko wa nanilii kwa-Pick Myself Up



PETER TOSH atoneshe zaidi kwa-AFRICAN



Halafu sijui kwanini ila hebu tu PETER TOSH arudie-PICK MYSELF UP



Ndio ,...
.... kulikuwa na UBATIZO wa JOHN jana,....






















































Ndio ni kweli huyu SIO mwanamke wangu!:-(

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:09 pm  

Jumapili njema nawe pia.. Mbona umeanza kujitetea mapema kuwa si WIFI yetu huyu?:-)

Simon Kitururu 12:14 pm  

@Mtoto mzuri Yasinta: Nimejistukia kwenye mkumbatio ambao sikujitukia nimekumbatia sana kihivyo jana!:-(
Vipi lakia,... ulifanikiwa kukumbatiwa jana au angalau kugawa bonge la busu jana?

Yasinta Ngonyani 12:43 pm  

Mmmmh! haya Simon...Nina...basi naacha ntafute ntakunongóneza:-)

Simon Kitururu 2:07 pm  

@Yasinta: Kumbe unaelewa KICHINA eeeh!:-)

Unknown 2:17 pm  

Kwa kweli dada kwenye Piano kanikuna.

Yasinta Ngonyani 3:43 pm  

Simon una maana gani nimeelewa KICHINA? mie nilidhani nimeelewa kingoni au kiswahili...

Simon Kitururu 3:48 pm  

@Rasta Mcharia na Kigoli YASINTA: Mmmmmmh!

Yasinta Ngonyani 3:55 pm  

Vipi Mtakatifu mbona umeguna sanaa...au hutaki nikunongóneze?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP