Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KISIFA,...

>> Tuesday, September 13, 2011

......MBAYA  kiubaya  na NZURI kwa uzuri ,...
.......... bado vyote ni sifa,.....
....... kitu kifanyacho  kuwa ahusuduye MABAYA,.....
...... labda atakachosifia MTU  labda ni kile kijulikanacho  kwa UBAYA kwa waliojifunza kisifa hicho ni KIBAYA?.

Swali:
  • Si inajulikana labda kwa MLEVI visifiwavyo ni  labda sio  tu VILEVILE wadhaniao MLEVI anapenda VILEVI ni vile TU vileweshavyo?
  • Na si MWIZI  bado kirahisi INAWEZEKANA NI KWELI anaweza  kisifa kumuadimaya JAMBAZI kuliko SHEKHE ubwabwa?

Ndio,.....
....... na hata kwa achukuliyae  mpaka hata UNENE ni aina ya ugonjwa kama tu si uzembe,...
..... kibonge  lile nene    akilizungumzia katika UTIPWATIPWA ,...
.......labda unene itakuwa sio sifa NZURI!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!


Hebu turudi ANGOLA kukutana na Yuri da Cunha katika kibao kile- Kuma kwa Kie



Au turudi tu Msumbiji ili Lizha James arudie - Nuna wa Mina



Au tu NAS abadili mchezo kwa-It aint hard to tell




Kabla tu hajamalizia tena kwa - Get Down


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 6:37 pm  

Dah,watoto ,wadada,wasichana,wanwake wa kiafrika niwazuri,mweeeeee,we acha tu.nisifa mojawapo ukipenda kitu. kaka S.

Simon Kitururu 10:51 am  

@Kaka S: Kweli kabisa aisee!
Lakini KAKA S hufikiri labda sentensi hiyo yako inakaubaguzi ka rangi?:-)

sam mbogo 12:03 pm  

Mtakatifu,katika hali ya kupenda kitu au kumpenda mtu, kuna haliya ya juu sana ya ubaguzi ambayo kwa fira za kawaida, huwezi kusema ni ubaguzi,lazima uwe umeka engo fulani, ambayo itakupeleka,katika kusema kama kuna kizuri ujuwe pia kuna kibaya na kibaya hakipendwi!!. kwa hiyo mimi hapa nilisifia tu kutokana nakile nilicho kiona,sikuwa na maana yeyote ya kubangua,isipokuwa kusifia tu. asante kwa kushitukia hilo. kaka s.

Simon Kitururu 12:11 pm  

@Kaka S: Nimekupata MKUU!Unajua nilikuwa nimekaa engo ambayo nilikuwa MWAFRIKA peke yangu halafu nikawaza tu hapa nikisema kuwa wao sio wazuri kama Waafrika nahisi moja kwa moja wanaweza kuanza kufikiria mambo ya ``RACE´´

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP