Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ndio bado mazingira akuliayo KIJEBA ni moja ya SHULE kwa kijeba hata katika kustukia BONGE la JIKE!

>> Monday, September 19, 2011

Ndio,...
.... LADHA za WATU huathiriwa na waonayo WATU yakithaminiwa ,...
..... wasikiayo watu YAKITHAMINIWA,....
.... mpaka wajifunzayo watu kwa kuonja na kujifunza kuyafanya yawe ni yafaayo KUTHAMINIWA,...
...... kutoka katika mazingira yao ambayo yanaweza kuwa PIA ni mpaka katika yale MAZINGIRANI HAPO ni yasiyo ya asili ya hapo lakini yanafikia  KUFANYA watu hapo hata kama ni kwa njia ya televisheni ,mtandao au lori la kijiji  kujifunza na kuathirika hata kikufikia hitimisho kuwa ni lipi KILADHA ni tako zuri la kuku kipaja.


Swali:
  • Si labda umesahau KIZURI KWAKO labda ulijifunza kukiona kizuri hata kama sio kimoja kwa moja- kutoka kwenye jamii iliyoko kwenye MAZINGIRA YAKO kwa kuwa yasemekana mapenzi ya JAMII aliyokuwepo MTU ya MAKALIO MAKUBWA inawezekana yakasababisha MTU akajikuta anajifunza ladha ya kupenda DADA POA wenye makalio MAKUBWA bila kujijua?

Ndio,...
....halihalisi pia ya watu kwenye MAZINGIRA akuliayo MTU,...
...... bila kusahau halihalisi ya MAISHA ya MTU akuaye katika hayo MAZINGIRA yanachangia FUNZO la mtu hata kuona KUKU ni MALI kuliko MCHICHA kwa kuwa hapo katika mazingira ya jamii imzungukayo kajifunza WATHAMINIWAO hula kuku,...
....na MCHICHA ambao labda ndio uhitajikao sana unadharauliwa!:-(

Swali:
  • Si nasikia pia bado ni mazingira akuliayo BIDADA ni moja ya SHULE kwa KIMWANA katika kustukia BONGE la DUME lenye KITAMBI ndilo kibosile hendisamu?

NIMEACHA na niwazo tu hili MHESHIMIWA!!


Hebu twende ALGERIA tena ili HARMONICA warudie-SALAM alikoum



Au tu tubaki hapa hapa ALGERIA ili HARMONICA wabakize tu -SALAM




Halafu sijui kwa nini Whitney Houston ghafla abadili mchezo mzima kwa ndude- I Will Always Love You





Au tu Whitney Houston amalizie kwa - My Love Is Your Love

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:48 am  

nje ya mada nina ujumbe wako naomba unitafute TAFADHALI!!

Simon Kitururu 11:58 am  

Ntakutafuta Yasinta!@Yasinta

Yasinta Ngonyani 12:15 pm  

NTASHUKURU KWANI NI MUHIMU SIMON...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP