Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MATESO yakibadilishwa JINA,...

>> Tuesday, September 27, 2011

.... kama tu kurushwa kichurachura kukiitwa ni MAZOEZI,....
.... kuna wayazoeayo kwa JINA JINGINE!

 Swali:
  • SI MATESO ili yasikiliziwe kimateso inabidi ATESWAYE ayatambue kwanza kuwa afanyiwacho ni KUTESWA? 
  • SI kushinda na NJAA kukiitwa ni KUFUNGA kuna wafarijikao kirahisi kwa kujitakia wenyewe  kutokula ?

Ndio,...
.... hata ugumu wa KITU ,...
.... ukipewa maana tofauti hata kama jina ni lilelile kuna wafarijikao na MAANA ya magumu  kwa kuamini mchango wa hayo kwenye MAANA YA MAISHA yao kitu ambacho huweza kufanya watu wajiingize kwenye MAGUMU hata kwa kupenda wenyewe!

NI wazo tu hili tena dhaifu  MKUU!





Hebu KIDUM aanzishe upya kwa-MAPENZI


Chiddy Bang wabadili kwa - Opposite Of Adults



Chiddy Bang waongezee - Dream Chasin'



Au tu Mad Lion aharibu tena kwa kuihamisha tena kwa - Take it Easy


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:21 pm  

WIMBO HUO WA KIDUMU MAPENZI KWA KWELI KAMA UNA MTU UNAMPENDA SANA KUUSIKILIZA UNAUMIA NA KWELI NI MATESO HASAWA..:-(

Simon Kitururu 3:55 am  

Halafu nakupenda Yasinta! Sasa si achika nikumendee?:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP