Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Haya wale mnaopostiposti mambo kwenye MABLOGU cheki stori hiyo ya WAMEXICO ,....

>> Saturday, September 17, 2011



Kama huwezi kudeku kideo,....
..... JAMAA wauza madawa MEXICO wanafuatilia wawaandikao hata mtandaoni ki-ANONYMOUS halafu WANAWAKOLIMBA!

Kwa hiyo jicheki,...
.... jinsi tekinolojia inavyokuwa  wajanja wanaweza kukustukia ni nani wewe hata kama ni ANONYMOUS,..
... na kwa kibongo nasikia unaweza kupigwa KIPAPAI tu halafu ghafla watu wanaona tu unafikiri bonge la chupi ni KOFIA.:-(!

Ni hilo tu na wala sio KIVITISHO!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP