VITENDO HIVI VYA KIKATILI VYA WATU KUPIGWA NONDO VITAISHA LINI MBEYA?
>> Friday, September 16, 2011
Bwana Elia Daudi Mwalonde mkazi wa Uyole akiwa hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya wodi namba 1 baada ya kupigwa nondo hivi karibuni.
Bwana Zefania Mwangwale mwenye umri wa miaka 31 mkazi wa Uyole akiwa katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya baada ya kupigwa nondo pia.
Vitendo vya watu kupigwa nondo kwa Jiji la Mbeya vimekua kama ni vitendo vya kawaida, ni jambo la kusikitisha sana kwa sababu kila mwaka lazima hivi vitendo vitokee na kupelekea watu wengi wa jiji la Mbeya kuishi katika maisha ya wasi wasi sana.
KAPINGAZ Blog inapenda kuviomba vyombo vyote vya usalama Jijini Mbeya kuona kama hivi vitendo kama ni janga kubwa kwa watu wa Mbeya.
PICHA na HABARI nimetumiwa na:
Henrick Kapinga wa KAPINGAZ BLOGU
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Sijui huu mwka ni miaka 50 ya uhuru au? maana naona vijimambo/matukio kila kukicha Afrika mashariki hiki...Mwisho wake itakuwa nini?
usiogope sana bibie hayo nimaisha tu,wala hakuna uhusiano na miaka 50.binaadam ndivyo tulivyo,we jilinde na mungu atakusaidia.kaka s.
Kaka S kanisemea katika hili!
Post a Comment