Katika SULUHISHO la kuvunja kioo ili MWANAIDI asijione ``SURAchaUPELE´´ na kujisikia VIBAYA!
>> Monday, September 26, 2011
Ndio,...
.... kunawashaurio kivunjwe KIOO,...
.... ili siye wenye sura mbaya tujisikie vizuri kwa kutojiona!
Swali:
- Si kujiangalia ndio saa nyingine hukumbusha mtu ujazo wa pua kama jipu?
Ila TATIZO tu ni kwamba,...
..... kuvunjika kwa KIOO kusababishako MTU asijione,...
.... bado hakubadili SURA ya MTU!:-(
Swali:
- Si hata tufanyeje kukwepa kutambua tatizo lipo kwa kutoliangalia huwa hakuondoi tatizo?
- Na si WASENGE wapo tu BONGO hata kama jamii inadai hawapo na matatizo yao yasitambulike ingawa yapo?
Ndio,..
..... moja ya dalili ya matakwa ya MWANAIDI kioo kivunjike ,...
.... labda ni yale ya kumlaumu MESENJA wakati afanyacho ni kuwakilisha tu meseji ambayo ipo tayari na wala yeye mesenja hahusiki katika mtengenezo wake!:-(Hebu twende tena Zimbabwe ili Oliver Mtukudzi aanzishe kwa - Neria
Oliver Mtukudzi arudie- Ndakuvara
Oliver Mtukudzi aongezee dozi kwa - Tozeza baba
Aongezee zaidi tena-Todii
Au tu tena Ringo Madlingozi aingilie tena kati kwa -Into Yam
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment