Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika SULUHISHO la kuvunja kioo ili MWANAIDI asijione ``SURAchaUPELE´´ na kujisikia VIBAYA!

>> Monday, September 26, 2011

Ndio,...
.... kunawashaurio kivunjwe KIOO,...
.... ili siye wenye sura mbaya tujisikie vizuri kwa kutojiona!

Swali:
  • Si  kujiangalia ndio saa nyingine hukumbusha mtu  ujazo wa pua   kama jipu?

Ila TATIZO tu ni kwamba,...
..... kuvunjika  kwa KIOO kusababishako  MTU  asijione,...
.... bado hakubadili  SURA ya MTU!:-(


Swali:
  • Si hata tufanyeje kukwepa kutambua tatizo lipo kwa kutoliangalia huwa hakuondoi tatizo?
  • Na si WASENGE wapo tu BONGO  hata kama jamii inadai  hawapo na matatizo yao yasitambulike ingawa yapo?

Ndio,..
..... moja ya  dalili ya matakwa ya MWANAIDI  kioo kivunjike ,...
.... labda ni yale ya kumlaumu MESENJA wakati afanyacho ni kuwakilisha tu meseji  ambayo ipo tayari  na wala yeye  mesenja hahusiki  katika mtengenezo wake!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu twende tena Zimbabwe ili Oliver Mtukudzi aanzishe kwa - Neria



Oliver Mtukudzi arudie- Ndakuvara



Oliver Mtukudzi aongezee dozi kwa - Tozeza baba





Aongezee zaidi tena-Todii



Au tu tena Ringo Madlingozi aingilie tena  kati kwa -Into Yam


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP