Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ntakusaidia WEWE ili siku nikikwama nikufanye ujisikie vibaya kama hutanisaidia OOoooho!

>> Saturday, September 17, 2011

Ndio,....
..... kuna wakusaidiao kwa MALENGO,...
..... na  LENGO ili UJE KULIPA baadaye ,...
.... ingawa labda wala sio kitu kibaya hicho!


Swali:
  • Ila unafikiri akusaidiaye kwa MALENGO hiyo ni BIMA ya siku yeye akikwama umsaidie anakumbuka kibinadamu labda siku akikwama na wewe unaweza kuwa umekwama?
  • Ila kiitwacho MSAADA si  kuna waelewao kuwa hicho hakihitaji KULIPWA?

Ndio,....
..... kuna WALALAMIKIAO mtu kuwa kwa kuwa walisaidiwa basi na aliyesaidiwa ni LAZIMA asaidie kitu ambacho ni sahihi,...
..... ila labda usahihi wake BADO ni pale tu kama aliyesaidiwa yuko na uwezo wa KUSAIDIA!

Ni wazo tu hili MKUU!
Na JUMAMOSI njema MKUU!




Hebu turudi Madagascar ili Norah aanzishe upya kwa- Sambatra



Tubakie hapahapa Madagascar ili  Tsiliva wazime manyanga pia kwa - Zay Gnanao



Au turudi NAMIBIA ili BLACK DOOR wakamilishe mshawasho kwa-This is my thing




Au tu hapahapa NAMIBIA ,...
...hawa OKIVANGO wakamilishe mshawasho kwa - Omundu


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

SAM MBOGO 5:24 pm  

KUSAIDIA NI KUWEKEZA? HAPANA SIJUWI.KWANINI NAMSAIDIA MTU,KUNA KITU NATARAJIA BAADAYE,HAPANA/NDIYO. KUTOA NI MOYO.KAKA S.

Simon Kitururu 4:17 am  

Kweli kabisa kutoa ni MOYO! Lakini ukipewa suti na MUWEKEZAJI wa KEMPISKY usishangae kuwa kunategemeo na wakati mungine hutaliweza na haukulitegemea.@Kaka S

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP