Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ndio ni MAUA ROZI hata ya MCHONGOMA yasifiwayo,...

>> Friday, September 23, 2011

...lakini bado MWIBA  unanafasi yake kwenye MCHONGOMA wenye miba!

 Swali:
  • Unabisha?
  • Kama UA ni TABIA NZURI na MIIBA ni  TABIA MBAYA ya kunanihii- KWANI  unafikiri UNGESTUKIA na kusifia wenye tabia NZURI kama siye wenye tabia mbaya hapohapo kwenye jamii tusingekuwepo?
Na labda moja ya sababu MAUA mazuri yapendeza hata kwenye MTI huohuo wenye miba,...
........ni kwa kuwa  hayo maua yako MIBANI!:-(

Ni hilo tu!


Hebu tubadili tena kabla siku haijaisha kwa India Arie kuachia-Brown Skin




Naye Richie Spice abadili kidogo mchezo na kubakia palepale kwenye -Brown Skin



Kabla haja badili zaidi kidogo tena kwa-Ghetto Girl



Halafu tu Wild Cherry abadili kabisaaaa mchezo akisisitizia-Play that FUNKY music White BOY


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:25 pm  

mmmhhh! mweeh:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP