Ukipewa LIFTI labda HUNARUHUSA kwenye gari HILO la watu KUPIGA HONI!:-(
>> Wednesday, September 14, 2011
Na ingawa ukiwa kwenye GARI HILO KIBONGE,...
.... bonge LABDA hata kama kimkweche labda hilo bado ni MTU,...
.... bonge LABDA hata kama kimkweche labda hilo bado ni MTU,...
....... na labda KIDEREVA aliyekupa LIFTI KWENYE GARI HILOHILO,...
.... hata kama ajali YENYEWE ingetokea ingejeruhi tu kikojoleo cha DEREVA TU HUYOHUYO MWENYE MARINGO ,....
....uliyeingilia USTELINGI WAKE NA KUPIGA HONI ya ambacho hakikuhusu pamoja na umuhimu wake kwa DEREVA mwenye maringo hata kwa gari la ofisini AMBALO labda katika stori za udaku yasemekana NI LA bosi wake,...
..... na kwa kumkata KILICHO MUHIMU KWAKE hata kiuendelezaji ya yasiyo muhimu kwa jamii kwa KUWA huwa kinashughulikia ZAIDI LABDA mahausigeli wa majirani kizaidi KULIKO MKE NYUMBANI kama hicho zaidi KIPIMO NI kiutu uzima ufanyao DEREVA anakana watoto wafananayenaye wazaliwaye na mpaka JIRANI,...
.... bado kwa kupiga HONI kwa lisilo GARI LAKO unaweza KUWA UNA- okoa MTU ambaye ki-RAIS NYERERE anaweza kuwa ndiye ambaye ange-REMIX ``ujamaa na KUJITEGEMEA´´ aisee,...
....NA LABDA kiazimio la ARUSHA kabisaaa vile upendavyo!:-(Swali:
- SI unajua kwa ajitahidie kuokoa labda afanyacho ndio kuharibu WOKOVU?:-(
- SI unakumbuka PIA inasemekana kwenye gari la watu kupewa kiti cha pembeni ya dereva labda bado sio ruksa kupiga HONI au tu kirungu ambacho inaweza kuwa ni kweli ndio GIA?
- Na honi si inasemekana huwa haijui ni nani kaibonyeza au hata kuwa ni kweli KIHONI nayo ili ilie labda nayo huhitaji SPIKA ambayo sio honi?
- Na si kuna watu kitabia au hata kivitendo husemekana hufanana na MAGARI kuliko hata MAGARI ya watu ambayo ni kweli ni MAGARI ambayo ukitekenya kwa ufunguo wa gari hilohilo ,... saa nyingine GARI HILO linaweza lisiwake?
Ndio,...
.... labda hata maswala ya kufungisha breki mambo katika gari usiloendesha hata kama hilo ni MTU ,...
..... inaweza kuwa BREKI KUINGILIWA na ASIYE DEREVA kiswala -SWALA HILO LINA nafasi zake HATA kama KI- nia za mtu katika KUOKOA ni KUOKOA MTU hata kama katika huyo MTU umuhimu wake kwake ni ajalivyo tu chake KITU,....... ambacho labda ni LILE tu SUFURIA alilonalo ambalo mtaani kwa kupikia PILAU ya KICHENI PATI ndilo litoshalo,...
... ila LABDA hata katika HILO LABDA fikiria kabla hujachezea HONI za WATU hata tu kama unajua honi nyingine hazijakaa kama PUA kwa kuwa TU hata wasiojua pua ya KONOKONO kibonyezo kwa wajanja hata kwenye honi ambayo ni PUA kwa KONOKONO hudai hata kwa kura za jamii kwenye uchi wa KONOKONO kihoni cha kubonyeza ni kisimi na sio PUA !:-(
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA,....
.....na usikonde hata kama HUNIELEWI,....
........ki-UjingaBUSARA ambayo ni staili yangu hapa kikublogu KIMDUNGO!:-(Hebu turudi tu CUBA ili tuanze tu tena upya na Musica Cubana katika lile pini - Chan Chan
LOS VAN VAN waongezee tu kipawa kilichojaa kile kidude-Tim POP
Sasa tufanyeje?,...
.....ngojea LABDA wamalizie tu tena hawahawa LOS VAN VAN kwa ndude itunishayo kichupi fulani ile -AQUI EL QUE BAILA GANA
6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Lifti. nimsaada wa imani,huruma itolewayo na mmilika wa kari hilo. wewe umepewa lifti,honi yanini unapiga,unafungua dirisha la nini,unapiga kishoka chanini,mkowawili badala ya kukaa mbele una kaa kiti cha nyuma wewebosi au? maranyingine hata hukuta mtu huyo aliye pewa lifti akanza kubadilisha CD ,bila kusahau alipo ingia ndani ya gari mlango aliubamiza,kiasi kwamba iikukera. ilikuepukana nahya na mengi mengineyo,kuwa mstaarabu uwapo kwenye gari ya mtu,japo si rahisi kuya juwa yote haya pindipo uwapo ndani yagari hilo.binfsi baadhi ya hayo yasha nikuta,nimekaa kiticha nyuma dereva akawa mkali kwelikweli.kaka S.
Kuna watu wakikaribishwa kitu kimoja hawawezi kuacha kuangalia na kilicho karibu...
@Kaka S:Mie maranyingi nimestukia aliyepewa lifti anaingilia ya DEREVA. Ila leo nilikuwa nawaza uwezekano labda hata wa DEREVA kuacha kutoa lifti!:-(
@Kapuliya:Kwani si nasikia wengi wafikao mpaka kwenye sehemu za siri yasemekana huwa labda walikaribisho kidogo kuliko hata TITI?:-(
Mtakatifu,ufikilicho kuhusu dereva kuacha kutoa lifti,ya wezekana ukawa sahihi, hasa ukiangalia upande wa pili wa shilingi. lifti hiyo waweza kubeba jambazi,kwani lifti sifa yake siyo lazima umjuwe /kumfahamu umbebaye au umpaye lifuti,navivyohivyo,kwa mpokea lifti yawezekana akupae lifti ni jambazi. hivyo pande zote nisahihi,mimi binafsi lifti sitowi hovyo kwa mtu nisiye mfehemu,na wala sipandi lifti ya mtu,kirahisrahisi wakati mwingine hata kama na mfahamu kwa kuogopa mambo hyo ya usipige honi. kaka S.
Mmmmhh:-( kaaaazii kwelikweli..naachia hapa..
@Kaka S:Ndio hapoooooo!
@Dada Yasinta:
Unataka kuacha kwa kuwa labda ni kweli waanziao kwenye chuchu wakafika mpaka kufikiria titi lote ni lao hawapo au tu ni kwa kuwa nisemacho labda kinamna hakijaanza vizuri hata kibusara ZA WASTAARABU waheshimiwao ambao ni waoga kukemea hata kama kuna kosa sehemu ,...
...kwa kuwa nisemacho bado LABDA ilikuwa ni :
.....``Kwani si nasikia wengi wafikao mpaka kwenye sehemu za siri yasemekana huwa labda walikaribishwa kidogo kuliko hata TITI?:-(´´...
....kitu ambacho KINAMNA labda tayari ni mpitilizo ,... kitu ambacho kilifti nimeshapiga HONI kwenye gari la watu?:-(
Nawaza tu kwa sauti!
Post a Comment