Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

David Mwanaka -Mzimbabwe Mweusi' alimaye mahindi Uingereza!

>> Friday, July 14, 2006

Je umemsikia David Mwanaka ?Mkulima huyu ananizingua sana.Manayake anafanyakinyume cha wale Wazungu wa Zimbabwe Uingereza. Msome hapa

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

mwandani 4:07 pm  

Kulikuwa na kipindi kwenye runinga leo juu ya black farmers in the UK, nimemuona mghana, mjamaika na wengine wengine. wengi walikuwa wanalalamikia kunyanyaswa na wenyeji. Kwamba vijijini kuna ubaguzi zaidi kuliko kule kulikozoeleka - baming' ham na brikstoni.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP