Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Msafiri sio KAFIRI kihivyo.....

>> Thursday, September 27, 2012

Inawezekana MSAFIRI afanyacho,....
.....ndio halihalisi ya UBINADAMU,...
... kama BINADAMU akiachiwa aoneshe makucha yake!

Swali:

  • SI unakumbuka kwa MSAFIRI choo ni popote?


Ndio,....
..... kama wasafiri,....
.... kuna ustarabu mwingine ni LAKSHARI tu!

BAADAYE na ni WAZO tu hili MKUU!!
Ngojea mie niende KICHAKANI kujisaidia!:-(Hebu Mos Def aingilie kwa- Fear Not Of Man

 


 Halafu Fela Kuti azime kwa-Who No Know Go Know

 


Nipo aisee!


8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:39 pm  

mpaka wivu...inapendeza kwa kweli!!

Anonymous 11:19 pm  

hivi simon kituro wewe ni kabila gani naukaa wapi na uafanya kazi gani na umeoa na wewe ni mtoto wangapi kwenu na je na kwa sas hivi unaishi wapi unapenda chakula gani na na kama huna mke unataka kuja kuoa mwanamke wa jinsi gani na pia una mtoto ni hayo nataka kujua kwa nia nzurii tu maana mimi fan wako mkubwa na pia na penda blog yako ubarikiwe sana

Simon Kitururu 12:40 am  

@Anony: Mie Baba Mpare , Mama Mjita! Mtoto wa tano ...na wa mwisho (kwa Mama).Nipo Bongo kwa sasa hivi... ingawa ni msafiri safiri sana tu. Nahusudu wali kwa maharage yalioungwa kwa nazi... kwa chai napendelea vitumbua au kiporo cha wali kwa maharage.Mke sina ... mtoto nafanyia kazi kumpata.

@Yasinta: Asante Mtu wangu!

Yasinta Ngonyani 3:53 pm  

mmmhh kama huna mke anafanyiaje kazi kumpata huyo mtoto?

Anonymous 9:05 am  

Simon nimefurahi kusikia uko Tanzania,
Kuna habari ya Mazengo Secondary school Alumni nilitaka kukwambia kitambo ila nikawa nasita kwa umbali ulokuwapo. Madhali upo basi ntaku email maelezo.
Ila kwa kifupi 'the now St john'university...inawatafuta the then x alliance and x mazengo

Mija Shija Sayi 6:38 pm  

Kitururu usirudi Ulaya bwana...

Yasinta Ngonyani 1:13 am  

Simon upo salama maana kimya kimezidi..

Anonymous 3:57 pm  

hata mimi ni mfuasi wa blog yako na hasa lugha yako ile ninaipendaga sana utakuwa bongo mpaka lini? au umeshaondoka safi sana hasa huyo dada mmoja aliyeinua mguu ule mhhhhh!natamani ningekuwepo ila kama anavyosema dada Yasinta umekuwa kimya sana,na upande mwingine wewe ni mutani wangu kwa mama mie muhaya

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP