Watu husikiliza na MAISHA yao kwa hiyo uongeleapo HIKI wengine huweza amini unaongelea KILE!
>> Sunday, September 25, 2011
Swali:
- Si ukiongelea SHIDA labda unaelewekaji wake ni tofauti kama akusikilizaye ni TAJIRI au MASIKINI, MSOMI au yule SHULE ni madangacheee?
- SI unajua yasemekana aliyekulia katika waongeleao MAFUMBO hata ukiongea kitu moja kwa moja atajaribu kufumbua FUMBO?
- Si yasemekana kuna wasioelewa kuwa sio wote ukiongea hata kwa kunukuu vitabu kanma VITAKATIFU bado sio wote watachukulia huo ndio ukweli kwa kuwa kimaisha yao BIBLIA na KORANI bado ni kitabu tu chenye stori za kutunga na hakina utakatifu waliouzoea wakuliao kwenye MAISHA YA waaminio ?
Hebu P.Square, Tiwa Savage na May D wabadili vita kwa -Do as I do
















