Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SHENZI mimi au YULE!!

>> Tuesday, June 24, 2008

Mapenzi ya kutukana yako kichwani mwangu na kwako tu.
Lakini kuna maneno ambayo hutambulika kama matusi ambayo sijui yanatokea wapi mpaka mimi na yule tunaamini kuwa tumetukanwa.
AU?
Swali:

  • Unafikiri kutukana ni nini?
  • Ushawahi kukasirika baada ya kuamini umetukanwa?
  • Hivi matusi ni nini?

Samahani blogu yangu imezubaa siku hizi kutokana na ukweli kuwa niko kushoto.
Samahani kiduchu kuna haka kawimbo ka KASSAV kako kichwani kidogo:-(

Niko kushoto kidogo a.k.a nchi fulani ambayo kupata internet connection ni ujanja kidogo ndio maana blogu iko nanihii.

LAKINI Unaweza ku -search chochote kwenye blogu hii wakati unanisubiri niandike ujinga mpya tena ukipenda au kama wewe mdau wa kijiwe hiki.
Cheki baadhi ya picha zangu za Vilnius LITHUENIA na......
Photobucket

Photobucket
Photobucket

Photobucket

Photobucket
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


SAMAHANI kwa ambaye anaweza kuzinguka!
Kama una nafasi unaweza kusikiliza mziki naoendelea kusikiliza sasa hivi ingawa usiniulize muziki huu unafundisha nini:-(
Mpate basi Snoop DOGGKatika wimbo GO Girl


Usimuangalie hapa kama unamchezo wa kuogopa majini, shetani au mambo yawezayokuwa mbele KIDOGO ya kinyesi kwa KUCHEFUA..... katika wimbo KUUA ni KESI niliyoPEWA.


Pata busara au msikilize Michael Shermer akukumbushe kwa nini nikijaribu kukudanganya unastukia na......

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 9:37 pm  

Mimi huwa nashangaa sana mtu anapotukanwa na akakasirika,mimi hata mtu aje na kilo 800 za matusi huwa sikasiriki.
Kuna kipindi fulani mdada mmoja sera zake na mimi hazikuelewana,basi ili amalize hasira zake kwa matusi.
Ni insha za matusi kila siku na kila akiniona anajua nitakasika mimi wala.

Kule kwetu uswahilini matusi ni kitu cha kawaida sana.Si mtoto wa mkubwa utasikia K******* zako huyu atajibu basi tu ni kitu cha kawaida kwao.

Hiyo picha ya 3 mpaka 5 usafiri poa hivi bongo usafiri wa namna hiyo si unalipa? udosini ndio kwao hiyo

Simon Kitururu 2:56 am  

@Egdio:Nafikiri usafiri wa aina hii utaingia hivi karibu bongo.Kuhusu matusi najiuliza sana saikolojia ya binadamu ina kemikali zake zimfanyazo mmoja achukie na wingine asinune.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP