Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati NAHAMU kweli kama YULE asiye WEWE ya KUKUBALIWA!:-(

>> Tuesday, January 04, 2011

[ Tahadhari: Lugha katika taralila hii haijavaa chupi!:-(]


LABDA kuna wengi,....
.....tupendao KUKUBALIWA,...
.... hasa  ni kwa kuwa tunafikiri tunahitaji KUKUBALIWA!:-(

Swali:
  • AU?


Na UKIKATALIWA hata katika tu  ni kwa USEMALO,....
....kama tu mwenye hamu AKIKATALIWA uchi afikiriao ndio anauhitaji HATA KAMA ni wakati anayeumiliki uchi wa AMANI, HESHIMA au tu UCHI  tu  ULEULE kama neno uchi kwa WASWAHILI LIMAANISHAVYO wa ambaye hata HUMPENDI VIZURI KIHIVYO wakati unatamani chake kidude,....
...............................................................
NDIO,....
.....KIDUDE KIMAANA hasa ILEILE kwa mwenye kufikiria ngono aaminivyo uchi ni  ule ujulikanao kama sehemu za siri hata  WAKATI SEHEMU ZA SIRI LABDA SIO SIRI KIHIVYO hasa kama ni  kwa kuwa kila mtu anacho au tu  kwa aliyeshiriki hata KISICHOPATA MIMBA hasa kwa walioshiriki naye  KIITWACHO SIRI na WAUNGWANA  hata kama HAKIKUZAA MIMBA cha julikana sio siri ,....


..... kwa kuwa kuna mengi  ambayo hudhaniwa ni siri hata kama YALE YA KAMA tukijua wewe ni FISADI si lazima tukuambie ni nini unafanya udhaniacho ni SIRI wakati labda sio siri ,...
.....ingawa tunaweza kinamna kukubali  lifanywalo NAWE  kuliko hata  swala la siasa za KUJITEGEMEA kipunyeto laweza itwa siri kwa kuwa HATA NIKATAE chaajabu kuna wadhaniao ni SIRI hiyo,........:-( 

Swali:

  • AU?
  • SI umestukia napoweza kuwa NACHEMKA?


Ndio,...
... labda ,....
.....UKIKUBALIWA unaweza kujisikia kama aviziaye UBWABWA WA MSIBA usiomhusu ajisikiavyo akifanikiwa kupata SINIA  ZIMA LA PILAU lake MWENYEWE msibani kwa kudhaniwa tu ni ndugu ya MAREHEMU,....

...ingawa tunajua kuna WALIOWAHI KUKATALIWA ambao kwa hilo wanajisikia vizuri kweli leo,...
.... kwa kuwa kwa KUKATALIWA hata tukiruka  ukweli walikuwa wanaogopa UKIMWI,....

... leo hii moja ya KUKENUA KWAO MENO kwa furaha kunatokana na kustukia tu KWA KUKATALIWA KWAO labda ndio sababu leo hawana UKIMWI na aliyekubaliwa ndio aliingia kichwa kichwa KASWENDE ,gono na UKIMWI   na baada ya fangasi za kunako ndio akacheki na kustukia MDUDU wake ni kama wa LIMPENZI alilowahi kujifikiria kuwa ni mjanja kwa kuwa katika lililokuwa linawachekea embe LAWALAWA aliye wini ni yeye ambalo lilikuwa kwa mbali kunakoNANIHII lilikuwa angalau na mifangasi!:-(

Swali:
  • SI unajua katika KUSHINDA kitu labda USHINDI bado sio kile washangiliacho WATU?




Ndio,....
.... katika KUKUBALIWA sio vyote vya kila mtu kushangilia hasa ukizingatia,....
..... wakati kuna MSENGE awezavyo kushangilia ushindi kuwa ni kupata  tako la mwanamume mwenzake,....
.... wapo VIDUME washangiliao hadharani uzuri wa matako ila SHAHADA YAO  ni kupewa hata kiuasherati cha mdada kilicho kwa mbele ya matako.:-(


Na ndio,...

...pia kwa KUTOKUKUBALIWA pia  kuna walioenda shule nzuri ZAIDI ya baada ya yakupasi kutokukubaliwa,....
...kitu kiwezacho KUTAFSIRIWA kutokubaliwa KWAO ndio siri ya MAFANIKIO yao,....
...... ambayo WENYE akili wanaweza kustukia hilo hata bila KUKAA kitako.:-(


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA na kwako ni  RUKSA KULITEMEA MATE POOO na samahani kama kwa kukatizia denge limegusa LUGHA au hata  tu kidude ambacho kwako hukifanya chooni ulikopekee na sio HADHARANI ujulikanako kwa UHESHIMIWA  WAKO na usingependa kukutananacho HADHARANI kwa wasio heshimiwa kama SISI!!:-(




Swali nje ya tundu:
  • Si unakumbuka WEWE sio SISI na yule sio MIMI?
Hebu ICE CUBE na Dr Dre wabadili na kuongelea ng'we - Natural born killaz




 MAXI PRIEST anisaidie kulainisha mshawasha kwa kujaribu  kuomba tena lawalawa kwa-One more CHANCE




Halafu sijui kwanini hebu tumtembelee tena ICE CUBE katika- It was a good day

Read more...

Wakati nahisi YA WENGINE ni manono zaidi na NAHISI ukiyabonyezabonyeza ni KITU freshi SANA yani !:-(

Wakati na WIVU na NATAMANI kuwa kama watu WENGINE,.....

.....ya WENGINE huvutia,....
...... yao yana VYEO, ushujaa na hata NGUO NZURI kuliko mie.:-(


Wakati natamani kuwa kama watu WENGINE,...
....ya WENGINE vitu hupatia,.....
...... yao huonekana YANA MAFANIKIO ZAIDI, nyumba nzuri na hata furaha kuliko mie.:-(


Swali la kujitia moyo:
  • Hivi si labda ni kweli mwenye wivu ni kipofu kwa alionealo wivu?


Wakati natamani ya WENGINE,.....
.... ni ya WENGINE yale yenye kunivutia,......
.... ambayo nabobea katika kuyachungulia  hukutayari AKILINI nimeshajijengea kuwa YAO hayana kasoro kwa kuwa  WENGINE siwachunguzi kasoro katika yao kama nijichunguzavyo mie.:-(



Swali tena:
  • Hivi si kwa ya wengine ni RAHISI kustukia tuyafikiriayo ni MABAYA kuliko YETU au tu yale tudhaniayo ni MAZURI kuliko YETU na kusahau ni jinsi gani hayo yako tu  kama YETU?
  • Na hivi si inasemekana kunauwezekano  ni rahisi  zaidi KUONA ya wengine kuliko yako?


Lakini,.....
.....LABDA,......
..... kwa wengine ,.....
...... yako ni MENGINE,.....
..... na KWAO kwa kuwa hawakujui wanaweza kuwa NAO wanatamani YAKO au tu wawe kama WEWE,....
...hasa kwa kuwa yako yanaonesha kama vile ni BOMBA ZAIDI au angalau tu limpenzi lako ZURI ZAIDI utafikiri halinyi vile.:-(


NAWAZA TU Mheshimiwa!:-(

Hebu tudeku STOMP



Au tu Oliver N'GOMA aingilie tu shughuli kwa - Sal'



Au tu Oliver N'goma aendelee tu pia  na-Julie

Read more...

Kwa bahati MBAYA kama MTU ni KIONGOZI kuna watu watamfuata tu!:-(

Tatizo ni,....
.... wakati watu wanamfuata KIONGOZI sebuleni,....
...... huyo kiongozi anaweza kutojua  anakokwenda NA wamfuatao wakajikuta wako CHOONI.:-(


Ndio,....
..... amini usiamini WANADAMU wengi hupenda kufuata  ya watu au MTU mwingine hata kama hawajastukia wafuatacho ni kufuata tu ,...
...... na wamfuataye hawamuiti KIONGOZI.:-(



Swali:
  • Unafikiri tuwaitao VIONGOZI Tanzania ni kweli viongozi na unauhakika wanajua wanatupeleka wapi?

Ndio,...
.....labda wewe ndio kiongozi wetu,....
.....TATIZO ni ,.....
......wakati watu wanakufuata unawapeleka WAPI?


Nawaza tu KWA SAUTI wakati naendelea KUWAZA!:-(


Tubadili kwa kucheki tena jinsi watu wawezavyo kubadilika kwa kumdeku MONTELL Jordan enzi  za anasa  katika -THIS is how we do it




Montell Jordan aendelee kwa - Somethin' 4 Da Honeyz



CHEKI siku hizi kama MCHUNGAJI wa kanisa akiongea.....

Read more...

LABDA , kuna mambo ni ya KIBINADAMU na MUNGU anasingiziwa tu!:-(

NDIO,...
......kwa waaminio MUNGU bado  BINADAMU kapewa akili,.....
.... na kuna mambo LABDA tishika na hoja za BINADAMU hasa kama mtoa hoja anakazia sana mchango wa MUNGU,....
..... hasa  ukizingatia liongelewalo ni la BINADAMU MWENYEWE kutumia akili tu!:-(

Swali:

  •  Si umestukia  kuwa kuna mambo BINADAMU huweza tu  hata kwa kutumia akili tu ndio maana UKIMWI hauishi na pia MAFISADI labda ndio wafanikishao zaidi angalau KUIBA  katika kundi la wananchi?
  • Si unajua katika WACHANGIA HOJA  wapo tu na ambao  hutumia tu jina la MUNGU kutaka tu hoja zao za KIVIVU zisizo na uhusiano na MUNGU zipewe tu UZITO kama hoja HASA na wale wasikilizaji waogopao MUNGU?

  • Na si hata kwa mcha MUNGU auguaye MALARIA na anajua kwa kutumia dawa ya MALARIA ya MUARUBAINI atapona  labda  ingawa MUNGU anaponya bado ni busara kutumia dawa pia na sio kuegemea MAOMBI tu?


Ndio,.....
.....ingawa  naelewa ni KWANINI watu wenye imani zao huona ni busara kumtanguliza MUNGU katika kila hoja mpaka zile za kutongoza hasa kama atongozwaye ni mwenye imani KIDINI ila siku hiyo kaudhaifu KAKIBINADAMU  kamemuingia kwa kuwa ukame umezidi,....
..... lakini LABDA sio mapenzi ya MUNGU,....
...... kwa mwenye uwezo wa kutumia  akili KUTOTUMIA AKILI kukabiliana na ya DUNIA   kwa KUZEMBEA,......
.... na kuendeleza UZEMBE kwa kisingizio kinachorembwa tu na hoja zisingiziazo MAPENZI ya MUNGU dangachee.:-(

Swali:

  • SI inakumbukwa kuwa TALANTA ya mtu inaweza isizae kama MWENYE talanta haichezei ili ipate mimba?

Kuhusu TALANTA kwa wenye BIBLIA Soma Mathayo 25:14-19.


Na hili ni WAZO TU MKUU!:-(

Na moja kwa moja tupate SINDIMBA kutoka ARUSHA kwa kikosi kamili cha MS Ngoma Troupe


Read more...

Swali kutoka kwa MDAU wa BLOGU Samson Simon!

>> Monday, January 03, 2011


Ni nani kamuibia mwenziye ?

 

 

 

Pole na kazi kaka na za leo!

Mimi nilikua naomba tuwaulize watanzania nani aliye mwibia mwenzie wimbo na Idea?
-Samson Simon 








Anti VIRUS song -Mr TWO a.k.a SUGU




Au Snoop Dogg- I wanna Rock



Mie nimewakilisha tu SWALI Wadau kwa kuwa MTU anataka kujua!

Read more...

Jinsi ya kukabili KUJIJUA!

Katika safari ya MTU ya kujijua,......
...... mtu anaweza mpaka  kustukia  mengi  DHAIFU yasiyo rahisi kukiri ndiyo sehemu ya  yeye.:-(


Swali:
  • SI kunauwezekano  katika kujijua kwa MHESHIMIWA MWIZI, mwizi  anaweza kupata taabu kukubali  UKWELI  kuwa yeye ni MWIZI na afanyacho ni wizi mtupu hata kama ni wa KALAMU?

Ila,....
.....labda  kwa KUJIJUA kwa mwizi kuwa afanyacho ni WIZI,.....
....kunaweza kuwa ni msaada  kwa MWIZI katika kusaidia mwizi kuridhika na wizi wake  kitu kiwezacho kumsaidia KUIBA kwa starehe,......
....kwa kuwa angalau  wizi utafanywa  wakati roho imetulia.:-(


NI wazo tu hili!
Naendelea kuwaza.....


Kwa kuwa ni JUMATATU hebu tukumbushwe wikiend na Afro 70 Band katika jiwe-Wikiendi




Au tu ngojea TATUNANE waingilie shughuli kwa-Msewe

Read more...

Tabasamu bado sio KICHEKO!

>> Sunday, January 02, 2011

Na kununa ,....
......bado sio KILIO!


Ni hilo tu!
Na naendelea kuwaza!

Hebu Carola Kinasha arudie-Ujasiri

Read more...

Kuhusu ile chupi CHAFU yatoka MWAKA JANA!:-(


NI kweli watu wengi wamebadili MWAKA ,....
....na CHUPI ileile chafu ya MWAKA jana!:-(


Na MWAKA MPYA labda ni tu MWAKA,...
.... na usipoangalia yote MACHAFU YA JANA yataendelea tu LEO kwa kuwa KWA BINADAMU ni kawaida kutokumbuka kila kitu hata kitamu kama NGONO ambacho kilichombeza utamu katika NGONO wakati wa kunenguliwa muda  huohuo wa kufanya MATUSI hata kwa apendaye UASHERATI  ajuaye labda ni DHAMBI leo kama tu jana.:-(


Swali:
  • SI inajulikana CHUPI ya MWAKA JANA inaweza kutosha tu kusitiri matako makubwa ya mwaka jana hata MWAKA HUU?

Ndio,...
... MWAKA HUU ni MPYA,....
.... na LABDA ni ruksa kuanza UPYA!

Pia ukiniuliza nitajibu bado ni NDIO,...
...ingawa kwa wengi ni MWAKA MPYA,....
... bado ukweli upo PALEPALE kuwa CHUPI ya zamani iliyobana mwaka jana LABDA bado hata inabana LEO  kama jana kwa asikiliziaye kibano cha jana leo,....
....na  KIKIBANO asikiliziaye leo kibano cha jana ,....
....leo inabana LEO  kwa asikiliziaye  leo hata kama VYA LEO VINAFANANA NA JANA ,..
... kwa kuwa LEO ikifananishwa na JANA leo ni MPYA!:-(


Swali:

  • AU?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(





Hebu Angie Stone alalamike kidogo katika wanaume wapendayo kusikia baada ya kutema mtu hata mwenye tako kubwa katika- Wish I didn't miss YOU




Angie stone aendelee kumwaga manyanga katika kinu-No more RAIN




Au tu Lenny Kravitz arudie tu-I will be waiting

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP