Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuhusu ile chupi CHAFU yatoka MWAKA JANA!:-(

>> Sunday, January 02, 2011


NI kweli watu wengi wamebadili MWAKA ,....
....na CHUPI ileile chafu ya MWAKA jana!:-(


Na MWAKA MPYA labda ni tu MWAKA,...
.... na usipoangalia yote MACHAFU YA JANA yataendelea tu LEO kwa kuwa KWA BINADAMU ni kawaida kutokumbuka kila kitu hata kitamu kama NGONO ambacho kilichombeza utamu katika NGONO wakati wa kunenguliwa muda  huohuo wa kufanya MATUSI hata kwa apendaye UASHERATI  ajuaye labda ni DHAMBI leo kama tu jana.:-(


Swali:
  • SI inajulikana CHUPI ya MWAKA JANA inaweza kutosha tu kusitiri matako makubwa ya mwaka jana hata MWAKA HUU?

Ndio,...
... MWAKA HUU ni MPYA,....
.... na LABDA ni ruksa kuanza UPYA!

Pia ukiniuliza nitajibu bado ni NDIO,...
...ingawa kwa wengi ni MWAKA MPYA,....
... bado ukweli upo PALEPALE kuwa CHUPI ya zamani iliyobana mwaka jana LABDA bado hata inabana LEO  kama jana kwa asikiliziaye kibano cha jana leo,....
....na  KIKIBANO asikiliziaye leo kibano cha jana ,....
....leo inabana LEO  kwa asikiliziaye  leo hata kama VYA LEO VINAFANANA NA JANA ,..
... kwa kuwa LEO ikifananishwa na JANA leo ni MPYA!:-(


Swali:

  • AU?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(





Hebu Angie Stone alalamike kidogo katika wanaume wapendayo kusikia baada ya kutema mtu hata mwenye tako kubwa katika- Wish I didn't miss YOU




Angie stone aendelee kumwaga manyanga katika kinu-No more RAIN




Au tu Lenny Kravitz arudie tu-I will be waiting

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 1:14 pm  

Hahahaaa here we go again, Simon mimi nilifikiri 2011 utakuwa mtakatifu wa ukweli...Ila UNAMATUSI WEWE sasa chupi zetu chafu za mwaka jana ulitaka tuzitupe? Siku njema mtu wangu

Yasinta Ngonyani 1:34 pm  

Namuunga mkona edna wangu kwa kwwli hata mie nilidhani utakuwa mtakatifu wa kweli ....kaaazi kwelikweli hapa. Ila...naacha

Simon Kitururu 1:44 pm  

Matusi nitafsiri ya mtu jaani!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP