Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MTU ana hamu KAMA NINI vile!

>> Sunday, January 16, 2011

HAMU ni DEREVA,...
.... katika yatiyayo hamu!:-(

Na HAMU  ni gari  labda kama sio DEREVA,...
.....kama  ndio kimpelekacho MTU kwenye kitu afikiriacho kimempa HAMU.:-(

Na labda hamu ni TELA la gari lidhaniwalo halina dereva,...
.... ingawa bado kuna kitu kinavutwa kwa kutaka tu kwa walewale wadaio hawataki kujilundikia mambo hata yale wayavutiayo kwao  huku hawayafikirii labda kisiri wanayavutia kwao na sio kwa wengine kwa kuwa labda hata bila kufikiria kwao hayo ni matunda ya yao HAMU.:-(

Swali:
  • Unafikiri huna HAMU?

Ndio,...
.... YASEMEKANA  katika walimwengu ,...
....kuna  mpaka wenye HAMU hata ya kunya  bila kubanwa haja kubwa!:-(

Tubadili na kurudisha ustaarabu kijiweni kwa kuachia Singing Melody katika mdinyo - Bless it again




Barrington Levy aingilie kati kwa-Don't give up


Au tu SIZZLA amalizie kwa -Take Myself Away




Sasa tutafanyeje na hebu twende Honduras kukutana na NURU aachie Punta MUZIKI katika ndude -Bunabou

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP