Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika matumaini-KIGAMBONI!

>> Friday, January 07, 2011

Haya sasa.....
.... deku mwenyewe hasa kama hukuwahi kustukia mipango hiii ya;.....

THE BLUE DIAMOND of TANZANIA!


Au tumsikilize tena Dr Jakaya Kikwete kama alivyodakwa na Ankal Michuzi....



TUNAKUMBUSHANA kitu tu MDAU!

AU?

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Faith S Hilary 4:26 pm  
This comment has been removed by the author.
Faith S Hilary 4:30 pm  

Naona kuna ya Dar City ila sijaifuatilia vizuri, hii ya Kigamboni naikodolea macho na namuomba mwenyezi Mungu aniwezeshe nifike mpaka hiyo 2030 nione kwa macho yangu bila kuhadithiwa. Miaka ya nyuma kulikuwa na plan ya kule kwetu Kibamba ila mpaka leo still kijiji tu anyway...naongea tu, sisemi mengi. Kama mtu ninayependa utalii, I am looking forward to this....that is IF it is going to happen, kama vipi tutaminyana hivyo hivyo kwenye space iliyopo lol


PS: Nimependa narrator anavyotamka hizo sehemu...mbavu sina loool!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP