Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Yasemekana mwenye KIPENGELE huwa hakichungulii kwa kudhania tu kuwa anaweza KUKIANGALIA!

>> Wednesday, January 05, 2011

UTAMU wa kuchungulia,....
....HUKATWA MAKALI kama kichunguliwacho huwezwa tu  KUANGALIWA.:-(

Ila tatizo la waangaliao  katika kuangalia yasemekana ni kama tu la WACHUNGULIAO katika kuchungulia ,....
.....na kama kiangaliwacho ni TAKO  huchagua kwenye tako chakuangalia na kuna waonao tu mfereji wakati ni TAKO zima linaangaliwa!:-(

Swali:

  • Unabisha? 
  • Hivi  unadhani umewahi kufikiria KUJICHUNGULIA angalau nanihii wakati unadhani unaweza kuiangalia yani pekee kabisa hata jikoni kama watu wengine  hawako?
  • SI nasikia hata waangaliao GARI wanaweza kuwa hawaoni gari linamatairi ya ainagani kama walengacho ni milango  au namba tu za gari?


Na ndio,....
...MTU akijiangalia kikweli  anawezastukia huwa KILA SIKU anachagua cha KUJIANGALIA,....
..... na ingawa anaweza kudai kuwa kama liangaliwalo ni TAKO kwa hiyo tako ni tako tu,......
....bado kuna matako YALE YALE yadhaniwayo ni nyororo ambayo yana upele siku nyingine!:-(


Swali:
  • SI inasemekana mafashenista wana MASTAILISTI kwa kuwa tu hata wavaaji WENYE VIOO VYA KUJIANGALI  hukosea pia  kujiangalia kwa kuruka baadhi KATIKA UVAAJI WA NGUO ya vyakujiangalia?


NI WAZO TU HILI Mheshimiwa!

Hebu Ndedi Dibango arudishe ustaarabu hapa kijiweni kwa kurudia -Eyo Mè




Au turudi tu Afrika Mashariki MAD ICE arudie-Te amo

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP