Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KISWAHILI kigumu MPENZI!:-(

>> Friday, January 21, 2011





Na labda AITWAYE mpenzi,...
...  hana mahusiano  na UPENDO  watu  MWANANA WAZUNGUMZIAO MAPENZI wauhusianishao na  MAPENZI!:-(

NA ukikuna kichwa hasa kama WEWE NI DUME na ukunacho  sio kile KICHWA  cha kule CHINI,..
 ....hasa weye  MHESHIMIWA  ujiandaaye kuita mtu MPENZI,...

.....unaweza kustukia kuwa katika MAPENZI,...
..... labda ni ajifunzacho tu KITU PENZI  awashwaye na kutafuta ni nini TAFSIRI na   ni nini  kuwashwa na kufikia hitimisho anawashwa  hata MDADI kama waitanao MPENZI awezavyo  kustukia kumbe labda mapenzi si NGONO, kupenda, kutombana, KUGOMBANA kwa kuwa unajali, kumkatalia aliyenenepa sana kwa kuwa unafikiria ni ujanja kwa kuwa huli sana na kisiri unafikiria huyo  KUWA MJANJA WAKULA SANA chakula, kumkatalia aliyelewa POMBE , kumpa mlevi pombe, au tu hata  kumkubalia na kumsikiliza aaminiye kuna MUNGU  wakati anaongelea MUNGU kama tu  kwa  demu alioneaye titi lake aibu kukubali anyonywe na DUME ZIMA  chuchu.:-(

DUH!




Kabla sijaenda NAYO  mbali  taralila hii ki - MADINGIRI DI haya  kipare,...
....ki MADUNGURU DU  KIPARE mpaka  mjanja kuchanganyikiwa navyochakachua,...


 SWALI:
  • VIPIIIII?- kwani  hujui kuna wajiulizao; ``MPENZI hivi penzi  lako limetuna MPENZI´´  ?
  • Na si unajua hakuna fomwula ya kugundua  MAPENZI ni nini ndio maana kuna waaminio KUMBWENGA DEMU WAKO ni aina ya kumuonyesha  KIVITENDO  sentensi yako ``NAKUPENDA WEE Mtoto  mzuri wa KIKURYA wee na chuchu yako juu ya TITI  murua sanaMPENZI mama wa watoto wangu  !´´ ?

NA ndio ,...
 ...kuna WASAHAUO kuwa neno MPENZI na MAPENZI,...
...labda sio hivyo kimfanano ndio maana  MPENZI anaweza kuwa MUNGU au MAMA na sio tu yule akupaye KIDUDE  MTU tu kwa kuwa YEYE cheupe dawa na unapenda vimwana WEUPE ki-CHEUPE DAWA  wenye titi jeupe  PE ila chuchu nyeusi TI ,...
...au tu wale  VIJEBA WEUPE kwa kuwa weusi  KWAKO wanafanana na BABA YAKO  na sio karibu kama yule MZUNGU ALIYEKAA KIKUCHUNWA BUZI KIKWAKO ,...
...au wale wakuwekao mkao wa huruma wa kuwagawia kirahisi kwa huruma KIDUDE.:-(




SWALI
  • AU?
Ndio,..
...labda KISWAHILI ni KIGUMU hata katika  MAPENZI  Mkuu,...
... ndio maana hata kutongoza MSWAHILI kwa KISWAHILI ni sanaa,...
... na labda kuna udhaniaye ni mwenye kigugumizi ndio apatiaye kupapasa UDHAIFU wa atongozwaye  na hata asipopewa nafasi ya kukubali labda kisiri anaweza kuwa kashachafua chupi,...




...kama tu labda ilivyo TUDHANIAYE kwa KISWAHILI anasali vizuri KULIKO SIYE KWA SAUTI  labda hiyo sio staili apendayo MUNGU kimnyenyekeo.:-(



NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA MHESHIMIWA!:-(





Hebu SADE aingilie KATI nakurudisha ustaarabu  katika kubadili wazo hapa kijiweni kwa - Is It A Crime


Sade aendelee na - Keep Looking



SADE anyuke tena -Smooth Operator


Au tu Vanessa Paradis adinye tu naye tena tamutamu-Joe le taxi




Shenzi !-...., HEBU TURUDI TU afrika KULE angola TENA KUPATA TENA KIDUDE kilichotuna-MARIKA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:37 am  

Leo nami nitasema! Mmmmh!!

Albert Kissima 12:43 pm  

Duh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP