Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati labda LEO ni ukurasa mpya katika MAISHA ya MZINZI wa kilokole!:-(

>> Saturday, January 15, 2011



Kuendeleza MCHEZO  kama ulivyo,...
... kwa bahati mbaya ni mchezo wa hata waliostukia madhara ya mchezo.:-(


LAKINI labda,...

..... leo ni ukurasa mpya wa maisha ya hata MSWAHILINA au tu wewe na MIMI,....
.... na LABDA  twaweza kuanza  UPYA kuandika upya stori ya MAISHA yetu  tukitaka kwa kuchukua tu hatua kwa vitendo!:-(





Swali:

  • AU?
  • Si kila siku labda ni siku ya kuanza upya KWAKO  au hata kwa Simon KITURURU?:-(
Na  labda kwa mchukia mchicha TUMJUAYE ,...
.... leo  inaweza kuwa ndio siku anaanza kufanyia mazoezi kupenda MCHICHA kwa bamia ,...
.... na tukikutananaye mwezi ujao kwa kula mchicha yeye akawa ndiye bingwa kihivihivi yani!:-(


Ndio,...
.... labda kama hatuanzi  UPYA  yale yenye MATATA angalau labda tuendelee  nayo kwa mtazamo MPYA yani!:-(


Swali:
  • AU?
NI hilo tu MHESHIMIWA!
Na  SAMAHANI kwa wazo hili mkweche MKUU!:-(


Basi bwana ngojea tena MANU DIBANGO anizinguaye leo abadili swala kwa - Wimoweh




Adunge - Ami oh



Au amalizie tu na -Miss Cavacha

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP