Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la mwenye CHOO!

>> Monday, January 17, 2011

Kuna kitu hugeuka tu ni TATIZO,...
.... ikiwa mtu ana kitu!:-(


Ndio,....
..... ukichunguza utastukia kuwa hata alalamikiaye matatizo ya SIDILIA mbaya,....
.... mara nyingi ni yule mwenye SIDILIA.:-(



Swali:
  • Si unakumbuka inahitajika kuwe na choo ili MTU alalamikie wajisaidiao pembeni ya CHOO?
Ndio,...
... matatizo  mengi huzidi kustukiwa  tu,...
....na wenye kitu,....
...... na kwa wengi ni mpaka wawe na MKOKOTENI  ndio watastukia matatizo ya MKOKOTENI.:-(


NI wazo tu hili BINGWA na Jumatatu njema!







Niko kwenye mudi ya JUJU Music ambayo King Sunny Ade ndio master.:-(

Hebu basi  King Sunny ADE aingilie shughuli kwa - Merciful God



King Sunny Ade aendelee na - Suku Suku Bam Bam



King Sunny Ade aendelee tu tena kwa ~ Syncro System Movement




Au tu arudie Syncro System live

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:05 pm  

Mtakatifu jumatatu hii umetoa BONGE la wazo. Kaazi kwelikweli!!! Jumatatu njema nawe pia. Nina imani siku yako jana ilikuwa BOMBI KWELIKWELI:-)

Unknown 1:41 pm  

Umeona? Haya, mara tunashuhudia mbwa wa ulaya anatembea kwa miguu miwili hapa kwetu Bongo, hatutaiga!!!?

Tulipofika ni lazima tutumie nguvu za ziada ili kudhibiti ubadhirifu unaofanyika katika maJiji na vijijini kiasi cha kukwamisha maendeleo na tamaduni katika taifa.

Fikiri tena sana hili;

Daladalani unaweza ukaamua na ukusimama mpaka mwisho wa safari, sasa jaribu kufikiria unatoka Dar kwenda Arusha bahati mbaya unakutana na mtu wa aina hii kwenye siti ya watu wawili utafanyaje ?.

Itakuwa ni TATIZO LA MWENYE CHOO au tulacho na kunywa. Harufu ya ushuzi au hata kujiharishia njiani mwote.

Lazima ifike wakati tuseme tulipofika basi panatosha, tuanze upya kwa kuhakiki kabla ya kuanza.

Ni Tafakari tu.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP