Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA ogopa KUKUBALIWA kila kitu!

>> Monday, January 31, 2011

KUKATALIWA kitu,...
....nasikia ni moja ya kifanyacho aliyekataliwa KUANZA upya!:-(


Na labda ogopa kukubaliwa kila kitu,....

.... kama kwa kukubaliwa kwakutuliza mshawasha mpaka kwa sababisha  ni vigumu kustukia labda wahitaji  kujifunza jambo JIPYA upya!:-(

Swali:
  • AU?

Naendelea kuwaza!:-(

Hebu tumsikilize MWANAHAWA katika -Tutabanana Hapahapa



Au tu ngojea tena Safari sounds band wadinye tena -MAMA LEA MTOTO WANGU

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP