Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Asante wote waliokumbuka NDUDE!

>> Sunday, January 16, 2011

Asante Fredy Njeje wa CHEKA UPASUKE blog ambaye nasubiri MUZIKI pana MUPYA kutoka KWAKO BADO kwa kukumbuka na mpaka kutumia muda
kutengeneza hii....




Asanteni wote,...
...akiwamo PAPAA FADHY MTANGA kwa kunnikumbuka kwenye blogu YAKE mapema na wote wengi   hasa wale mlionikumbuka kwenye SURA KITABU!

Hebu basi tubadili basi hii kitu kwa kuanza kusikiliza story ya mtu mwingine interesting zaidi ambaye ni SHABBA RANKS ,...
.... katika -SHABBA's story...



Au tu SHABBA aanze kunyanyasa kwa zaidi kwa kutukumbusha anavyopenda kitu katika -GAL U gud





Au SHABBA aje na LADY SAW katika - Want It Tonight





Akumbushe waheshimiwa wamdharauye YEYE  na wamheshimuye MANDELA kuwa MANDELA ni mshabiki na ndiye aliyemualika  katika.....




SHABBA aendelee kuainisha kitu kwa kitu zilipendwa katika ndude-Champion LOVER




Au amalizie tu kisiriasi katika ukweli kuwa saa nyingine unahitaji -Just REALITY






BADAAYE basi MKUU na asante kama umefika nami mpaka hapa hata kwa mwendo wa maringo kwa kuwa ni kweli  hii sio TAARABU!:-(

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:57 am  

Simon, HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA NAKUOMBEA UWE NA MAISHA MAREFU ILI UWAONA WAJUKUU WAKO NA WAJUKUUU WA WAJUKUU WAKO. AISEE MWEZI HUU TULIZALIWA WEEENGI. HONGERA TENA:-)

Fadhy Mtanga 9:59 am  

hongera sana Mtakatifu kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa. Uwe na maisha marefu sana.

Mwanasosholojia 12:34 pm  

Mtakatifu Saimoni
Ufananaye na Laiboni
Mwenye nywele mpaka usoni
Na uso usio na soni
Nakupongeza toka moyoni
Uzidi kuvuta pumzi duniani!

malkiory 12:39 pm  

Happy birthday Simeoni. Ops! Simon.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP