Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda hakuna tofauti kati ya asemaye HADHARANI na asemaye kwa siri CHOBISI kama wote ni BINADAMU ambao hata kama ni siri wote huweza kuwa wanaunganishwa kwa NYEGE!:-(

>> Monday, January 24, 2011

BINADAMU hupenda  kutafuta tofauti zao,...
..... kuliko kutafuta YANAYO WAUNGANISHA  YAFANANAYO KITU kitu kifanyacho TUSIOJUA WANAFIKIRIA NINI,...


.... ni rahisi kudhania wao ni tofauti na MATATIZO yao ni tofauti.:-(


Swali:

  • AU?
  • HUDHANI ni mambo ya KUDHANIA tu labda ndio siri KUBWA ya heshima yako KWA USIYEMJUA  VIZURI  unajuaye tu kitu kimoja UKIHESHIMUCHO udhaniaye ANAHESHIMIKA?

DUNIANI labda mambo mengi ni YA KUDHANIA TU,...
...... kwa kuwa mwisho wa siku  yeyote MWENYE CHOO labda  hata kama huwa  haonekani akienda CHOONI,...




.... mheshimiwa huyo KAMA  angalau nyumbani kwake ana CHOO,...
.... kuna wakati hutumia muda kunya HUYO na labda kivile tu ambavyo hadharani ingetafsiriwa na  wengine sio KUJISAIDIA HAJA KUBWA kiheshima.:-(




Swali:

  • AU?


NDIO ,...
... hadharani na CHOBISI labda kwa watu hata ukibisha kuna vifananavyo,..
... kwa kuwa labda  bado katika vyote hivyo  kuna BINADAMU alaye na wajua alaye huwa anamchezo wa KUNYA pia.:-(




NI WAZO TU HILI Mkuu!!:-(

Na hebu tuendelee na Bobbi Humphrey katika- Please Set Me At Ease



Bobbi Humphrey  ashambuliae kutoka  kona ya kulia kwa - Blacks And Blues



Hugh MASEKELA arudie-Patience



Au tu FELA KUTI arudie tu-FOGO FOGO

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP