Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati inadhaniwa SIRI YA WOGA inauhusiano na KUJUA!:-(

>> Monday, January 24, 2011

KUJUA,...
.... labda kuna uhusiano na yatokeayo kwa  KUTOJUA,...
....ingawa  MUOGA ataogopa tu,...
..... hata kama ANAJUA  kuwa maumivu  ya aogopacho wala sio makali hivyo.:-(

Swali:

  • SI DUNIANI  kuna waogopao kwa kuwa HAWAJUI na kuna waogopao kwa kujua KITU?

Ndio,....
.... siri ya  UOGOPACHO hata kile udhaniacho unajua  ni KUJIDHALILISHA,.....
.....yaweza bado kuwa kiini chake ni udhaifu wa UBINADAMU wenye misingi yake katika yale ambayo ni vigumu kwa uhakika  KUJUA yaitwayo KUTOJUA.:-(

Swali:

  • Unafikiri unauhakika unajua?


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!

Na hebu HUGH MASEKELA abadili kwa-Witch DOCTOR



Hugh MASEKELA aendelee kwa-The BOY is doing it



Au tu HUGH MASEKELA amalizie tu kwa- FELA

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 7:32 pm  

labda kutokuwa na uhakika na analolijua au kutojiamini!
Nimewaza tu!!!!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP