Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa ukikosea SWALI bado kuna JIBU hata lisilo SAHIHI utapata!:-(

>> Wednesday, January 19, 2011

Ndio,...
....tatizo ni kuwa SIO kila JIBU ni  SAHIHI,...
..... na ukikosea SWALI,....
..... unaweza usipate jibu la utakachokujua lile  SAHIHI .:-(


Swali:
  • SI unajua hata mtu mwenyewe anaweza kukosea  kujiuliza?

INGAWA PIA  labda kila JIBU ni jibu sahihi ,...
.... kwa swali fulani,....
........ ingawa kwa bahati mbaya SIO KILA JIBU lilengeshwalo kwenye  SWALI la MTU ni JIBU la hilo SWALI.:-(


Swali:
  • Unafikiri leo katika utakayo kuyajua UMEPATIA swali la kuuliza?
  • Na si unajua kuna wenye MAJIBU  wawezao KUKUJIBU kama utapatia tu SWALI la kuuuliza kitu ambacho unaweza kugundua kuwa  LABDA watu wawili TOFAUTI huhitaji aina mbili tofauti ya SWALI ili waweze kutoa jibu sahihi ya utakacho kujua JIBU?



Ndio,...
.... ukikosea kuuliza kuhusu MAHARAGE ya MBEYA  yale maji mara moja,...
.... waweza bila kustukia KURIDHIKA na majibu uliyopewa ambayo yote hayahusu MAHARAGE  na yote ni yahusuyo jinsi ya kuua viwavi kwenye NJEGERE.:-(





NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Lauryn Hill wa wakati ana miaka 13 aingilie kati kwa- Who's Lovin' You






Lauryn HIll mkubwa mkubwa aendelee na -A Change Is Gonna Come







Au tu Lauryn Hill arudie tu na nyundo -Forgive them FATHER

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP