Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Simon KITURURU presents UGONJWA usio MPYA uitwao...: ``UHESHIMIWA!´´ :-(

>> Tuesday, January 25, 2011

Tahadhari: [Taralila hii labda NI UJINGA mtupu kwa hiyo shauri zako ukiisoma HII NDUDE   MHESHIMIWA!:-(]




KUNA tafsiri NYINGI nini ni ``UHESHIMIWA´´´,...
.... kama ilivyo kuwa  kuna watu wengi ambao wana MENGI ambayo LABDA  kwa baadhi  YETU  hatujui tu ambayo labda KUNA UKWELI  ndio tiba  ila hatutajua TU LABDA kwa kuwa  haya kwao hayana uhusiano na walichojifunza NAKUAMINI TU HATA KAMA SIO KWELI  kuwa kuna uwezekano TU na sio ni KWELI TUPU kuwa huo  ndio ukweli KUWA huo ndio labda ni  UHESHIMIWA!:-(

NA labda UKIULIZA MTU  labda  kuna tafsiri nyingi za nini ni ugonjwa  au hata kuugua KWA wajisikiao kukuuguza  hata kama hujinyei  BADO na kuhitaji kubadilishwa CHUPI MARA KWA MARA  wakati huo au tu hata ukijinyea bado kuna kitu  wanaweza kujitetea kwa wawaheshimuo kuwa bado weye ni MHESHIMIWA,...
....ingawa kuna TAFSIRI NYINGI za ni NINI  ni UGONJWA ndio maana UKICHAA na maumivu ya TUMBO TU vyote huweza kuitwa ni  UGONJWA,...




.... hata wakati BADO inaweza kuwa  sio UGONJWA inaweza kuwa ndio tafsiri  ya mjanja  ambaye kwa kutofikiria anafikia hata kuhitimisha MSICHANA ALIYE KWENYE HEDHI na kwa bahati mbaya alikosea KIHESHIMA kukiweka vizuri MBELE YA KUMA  kinyonya damu  na damu ikapitilizia mpaka kwenye chupi basi KWA TAFSIRI HIYO,...


..... bado  inaweza kuwa  sio UGONJWA,...
...hasa kwa kuwa UKICHAA na maumivu ya TUMBO vyote huweza kuitwa ni  UGONJWA;...
...hasa ukizingatia ,...
...LABDA KUNA atafsiriye hilo  au mambo kama hayo ni DALILI TU ya ugonjwa,...
... na KWA KAWAIDA KWAKO  ugonjwa ni kitu KINGINE!:-(

Swali:
  • ``UHESHIMIWA´´ kama tu ``UKICHAA´´ hudhani katika engo fulani  ingawa  vyote sio kama ``UTAHAIRA´´ labda vyote ni  aina tu ya UGONJWA angalau KISAIKOLOJIA kwa kuwa tafsiri ya magonjwa ndio ile ile kwa wajanja  KIPINDUPINDU katika  kuharisha na MALARIA vyote pamoja na utofauti wake   kwa  WENGI WENYE AKILI watadai  ZOTE ni aina tu za MAGONJWA?


Ndio,...
....``UHESHIMIWA´´,...
.....moja ya madhara yake ambayo labda ni MOJA YA SABABU HALISTUKIWI KAMA  labda ni aina tu ya ugonjwa angalau KISAIKOLOJIA,...
.... labda NI kwa kuwa kuna mambo wauguao  waheshimiwa   yasiyoeleweka ,...
.... ila   ``UHESHIMIWA´´ na kiheshima moja ya walichojifunza  WASHUHUDIAO na WAUGUAO  ni kuwa KIHESHIMA labda sio HESHIMA kukaa uchi , kujamba hadharani, KUBANJA; ,...


... au tu  kama SIMON KITURURU kuandika mpaka yale waliofunzwa kitu waaminicho ni MATUSI  hasa KAMA HAPA KWENYE BLOGU  hadharani,...



..... ingawa LABDA tukumbuke tu katika vitendo hivyo vya vifikiriwavyo na kushuhudiwa  MHESHIMIWA  ni yule ambaye havifanyi hadharani  ,...
... labda hata katika HILO labda kifanyikacho  kikweli kuna ambaye tu kwa kutaka ajulikane kama ni MHESHIMIWA hata kwa hilo  anajikana tu HADHARANI.:-(




Ndio,.....
... katika ``UHESHIMIWA´´,...


 moja ya  MADHARA YAJULIKANAYO,....
.... ni kufanya WATU kukatwa KAULI   kwa akili kufanywa KUKAA  kimtindio wa  kwa KUTOA kauli fulani  KUWA  hiyo sio HESHIMA,...


..... au tu  kufanya  mpaka URAIS au  tu UKUU WA NYUMBA KUMIKUMI  ndio moja ya kitu kwa mtu ndio cha KUHESHIMIWA kama tu ukuu hata wa kufanya matusi kitandani ufanyavyo kwa afikiriaye kwa kuwa ni mzuri katika uasherati kitandani kuna kitu ANAHESHIMIKA hata kwa siri ambaye HATUMJUI ,...


... na kujikuta mpaka anaishi UONGO kwa   kuwa kwa kuaminisha watu vile afikiriavyo ndivyo vyenye HESHIMA na kuleta``UHESHIMIWA ´´ hasa  katika jamii HII  TUIJUAYO  vinafikia kufanya,...



... mtu kama hajui asikiri HAJUI , mtu kama anajisikia kujamba  HADHARANI asijambe hadharani , MTU KAMA HAPENDI KUWA RAIS WA TANZANINA aendelee kushangilia CCM  au CHADEMA kwa kufikiri vitampa ``UHESHIMIWA´´ kama BIBI TITI  au tu Mheshimiwa RASHID KAWAWA ambaye kivitendo namuheshimu zaidi ya RAIS NYERERE  ajulikanaye kwa kuongea,...


...ingawa  kwa jinsi ``UHESHIMIWA ilivyo labda ni ugonjwa´´,...
....bado inaaminika KIHESHIMA  kuna MTU kutogawa KIDUDE,....


.... hata wakati anahamu ya KUGAWA KIDUDE ili pia naye apewe kidude ambacho kiashki  ya KIKRISTO na  kiuzani ni BIBLIA,...
..... ``UHESHIMIWA´´´waweza kufanya mpenda MBOGA za MAJANI muislamu   akashuhudiwa akila iliashuhudiwe  tu  kiheshima anakula NYAMA YA NGURUWE.:-(




Swali:

  • Unabisha?

Ndio,...
... kutaka ``UHESHIMIWA´´  labda  KINAMNA ni aina tu ya UGONJWA,...
... ambao KISAIKOLOJIA labda ahitajie KUHESHIMIWA ni MGONJWA tu!:-(

Ndio,...
....na kutotaka kuheshimiwa kwa asiyejihisi ni MHESHIMIWA labda ni TATIZO na haki ya nani wala ni  ugonjwa,...

... kwa kuwa labda  mengi yasiyo UKOMA  au tu uke utoao usaha   KAMA TU mboo isiyodinda,...


....LABDA yale ya watafsirio mambo  kwa kutumia akili tu na kufikia MPAKA hitimisho la RAIS NYERERE na familia yake na sio  RAIS MWINYI na familia yake ndio wenye akili nyingi katika familia za viongozi waliowahi kutawala TANZANIA na ambao wanaendelea kutawala  TANZANIA ,...
...
....labda naweza kushindwa kubisha  kwa kuwa KITAALUMA  na KISHERIA ni mpaka uwe na cheti cha DAKTARI ndio kisheria  Simon KITURURU ni kichaa au tu  alizaliwa katika HOSPITALI ya BAPTISTI  MBEYA ndio   kisheria  HATA hii isiwe ni taralali tu.:-(




NALIKATIZA WAZO  HILI hapa MKUU ,....


....na kumbuka hili ni wazo tu   MHESHIMIWA na nakubaliana na  wewe labda hukuhitaji  kunisoma mpaka hapa kwa kuwa katika hata UjingaBUSARA,...
.....labda huu ni UJINGA MTUPU MKUU!:-(




Samahani HEBU ngojea 2 PAC abadili mshawashwa kwa ndude -DEAR MAMA




 2PAC arudie  tena ghafla ndude-CHANGES



DUH! -... ngojea  tu MUTABARUKA aingilie kati shughuli tena kiaina fulani ya kininja kwa...




MUTABARUKA aingilie tena kwa  UNDANI WA KITU CHENYE NDANI YAKE  hasa hata  kwa wajanja HASA  ndani ya  IMANI kuna waaminio vingine hata kama  hivi ki-Spirituality




Au tu MUTABARUKA ajaribu tena kitu katika kutetea  BAADHI YA watu ambao sio miye  ingawa  kunawanifananaishao nao katika  ndude -Dispel the lie

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP