Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati tunashuhudia USHENZI wa jamii ya watoto!

>> Monday, January 31, 2011

Labda moja ya kisababishacho watoto ni WASHENZI,...

... labda ushenzi wa TOTO sio kitu KIPYA kwa kuwa  labda  dalili za SHENZI zipo tu  hata kwa jamii ya wakubwa waliotengeneza MITOTO!:-(




Swali:

  • AU?


Naendelea kuwaza!....:-(


Hebu MOMBASA ROOTS wapige krosi kwa-Kasha Langu



Mombasa Roots waendeleee kukuna kidude kwa - Msa Mombasa


Au tu Boyoyo Boys wamalizie mashambulizi kwa - Dube Station

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 1:31 pm  

Haya mkuu, mmh, sijui nisemeje...maana ukisema watoto..basi `ushenzi' haukosekani...kwani yote watendayo ni sababu ya `utoto'...itakuwa ajabu kama mtu mzima atatenda kama `mtoto' hapo mmmh, tutamshangaa...na sizani kuwa tutamuweka kwenye jamii ya watoto...!
Ujumbe murua mkuu. TUPO PAMOJA!

Rachel Siwa 8:46 pm  

hahahaa mtoto wa paka si paka na shina la mua haliwezi kuwa mpunga kaka!!

Simon Kitururu 5:16 pm  

@MKUU M3:Nakubali DUNIANI kuna ya UTOTO pia ambayo labda ni kuonea watoto tukiyaita ni USHENZI.


Lakini pia labda DUNIANI ushenzi una nafasi yake hata ile tu ya kufanya tujue ni akina nani SIO WASHENZI!

@Rachel: Nakubali kabisaaaa!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP