Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BINADAMU akikwama huweza mpaka kufikiria kutafuta USHAURI kwa viongozi wa DINI!

>> Sunday, January 09, 2011

Chakukumbuka tu ni kwamba,.....

...... kwa bahati mbaya hata mtu abisheje,....
....kuna majibu na ushauri mzuri ,...
....alionao ni MALAYA na wala si PADRE ,askofu au kwa ujumla,...
....KIONGOZI wa DINI!:-(


Swali:
  • SI unakumbuka viongozi wa dini ni BINADAMU?

Labda usidharau MTU,....
....kwa kuwa tatizo lako majibu yake anaweza kuwanayo USIYEMDHANIA,...
... yule aliyevaa midabwada na ananuka kikwapa ile mbaya kama nepi chafu ya mtoto aliyeenda haja kubwa.:-(






Ni wazo tu hili  MHESHIMIWA!:-(
JUMAPILI NJEMA MKUU!

Hebu James Brown  na LUCIANO PAVAROTTI waingile tena shughuli kwa-It's a Man's World




Neneh Cherry arudishe tena ustaarabu hapa kijiweni  kwa -WOMAN




Au tu Portishead warudie tu -Glory Box

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

malkiory 1:06 pm  

Nadhani ni hulka yetu sisi wanadamu. Mungu tunamkumbuka zaidi wakati wa shida na wakati wa uzeeni kwasababu ya kuogopa kifo.

Yasinta Ngonyani 2:00 pm  

ni ajabu kwa kweli binadamu ni kiumbe wa pekee!!

mumyhery 7:00 am  

Kwa kweli mara nyingi mimi naona binaadam tunamkumbuka Mungu pale tu tunapopata matataizo ndipo utaona mtu anajitahidi kuomba Mungu kama kuugua, kukosa kazi na mengi mengineyO!!!

emu-three 8:47 am  

Kwa ujumla Mungu kwetu ni wa kutusaidia shida zetu zilizokwama, kama huna shida utamuomba nini!!
Ajabu kabisa, lakini ni kweli, chekecha moyo wako utaona, kipindi gani wewe unamkumbuka bwana mungu wako!

Simon Kitururu 10:40 am  

Lakini tukumbuke tu kuwa BWANA MUNGU na VIONGOZI WA DINI ni vitu viwili tofauti!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP