Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati naufanyiakazi UMADHUBUTI kila siku OFISINI , chooni- na hata ikiwa ni ule UMADHUBUTI wa kushughulikia kidude KITANDANI!!:-(

>> Sunday, January 16, 2011

Umadhubuti nishai,....
.... kwa kuwa wakati unafikiria unajua kitu,....
.... ndipo uwezapo  KUKUTANA NA KITU  kiwezacho kufanya  ufikirie  UPYA kuanza tena upya  kiupya KIMADHUBUTI!:-(


Swali :

  • AU?


Na labda hata kufinyanga tonge,....
... inahitaji kila siku kufanyia kazi umadhubuti kama nia ni tonge liendelee kuwa kibonge HATA KAMA NI katika TU kulitumia vizuri kuchotea MBOGA rojorojo!:-(

NAWAZA tu hapa MKUU!:-(



Ndio bado nipo bado!:-(








































Hebu GURU aainishe kitu kwa ndude-SKILLS





Au hebu Guru aendelee tu kwa sindimba-Feel the MUSIC

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 2:27 pm  

Weekend njema MTAKATIFU SIMON.....

malkiory 3:15 pm  

Mkuu hii zambarau imekutoa mchicha!

PASSION4FASHION.TZ 8:02 pm  

OMG.....Nasema shetani na ushindwe katika jina la Yesu...tena ulegee kabisa!....lol leo hapo hakuna utakatifu bali ni shetani kamuingilia mtakatifu SIMON...aaaah leo nimekubamba hicho nini mkononi?naona kama kinywaji rangi ya mende?mmmmh hapo kuna utakatifu kweli leo?mmmmmmh!
weekend njema mtakatifu!

Yasinta Ngonyani 9:48 pm  

ni siku yako leo kwa hiyo siku njema mtakatifu:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP