Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUFIKIRIA jinsi ya kumtafutia ADHABU atakaye KUJINYONGA!

>> Wednesday, January 26, 2011

Atakaye KUJIUA,.....
......labda si adhabu kwake kuhukumiwa KIFO!



Lakini,....
....atakaye KUJIUA,...
.....bado labda ASINGEPENDA kuuawa na mtu mwingine kwa kuwa kitendo hicho chaweza kumuondolea KONTROO ya staili ya jinsi  ya kufanikisha chake KIFO.:-(

Swali :
  • AU?:-(



NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!:-(

Hebu tubadili kwa kumsikiliza MOTHER THERESA



Au tuendelee kujifunza kitu




Tuendelee.....





Tuendelee zaidi....

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:20 am  

Wazo la leo kaaazi kwelikweli!!

emu-three 12:59 pm  

Mbona watutisha mkuu, `kujinyonga tena...najua ni wazo tu, swali je mtu kama huyu apewe adhabu gani? mmmh...ngoja nifikiri!

Simon Kitururu 5:35 am  

@Mkuu M3: Na mie ngojea niendelee tu kufikiria!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP