Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MDUDU ueleao chinichini kidogo ya kitovu cha HABARI NZURI !

>> Friday, January 28, 2011

Habari NZURI,....
.... kwa wengi ni ile yenye kitu WANATAKA kusikia.:-(

Swali:
  • Lakini kwani  HABARI nzuri ni kweli ni ile tu NZURI masikioni mwa asikiaye?


Ndio,...
....labda HABARI nzuri kwa mtu bado inamdudu hasa kwa kuwa ni HABARI TU na labda kuna kitu BADO hakijastukiwa mpaka uchokonoe KITU HALISI na sio habari tu  ndio ustukie.:-(

Swali:
  • SI unajua ahadi ya UTAMU mtu aipatayo kwa kuona tu mwili wa bonge la TOTO bado labda totoz pamoja na UKIBONGE WAKE bado lina MDUDU halafu kilawalawa nyama labda bado ni CHUNGU?


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Au tu tubadili ndude na  twende shule kwa kumsikiliza tena Ngozi Okonjo-Iweala akimwaga tena manyanga katika -How to help Africa? Do business there .

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP