Si rahisi kila wakati MAISHANI hata katika KUMSENGENYA MTU kutoa kitu STEREO!
>> Friday, January 21, 2011
Kuna vitu vinatoka tu MONO hata katika kusuta MTU,...
... na hata kama mtu angetaka kutoa safari hiyo kitu STEREO,...
... na KWA BAHATI MBAYA labda ni kwa kuwa tu MTU ni BINADAMU.:-(Swali:
- AU?
Kama unabisha ,...
....mpe muda MTU uaminiye kila wakati anatoa kitu STEREO,...
....halafu kabla hujavamia maswala ,...
....MASWALA ucheki.!:-(
Swali:
- Si unajua ni RUKSA kubishia hii hoja?
Ndio,...
.... ni hoja tu hii MHESHIMIWA!:-(
Hebu Admiral Tibett na SHABBA Ranks warudie- Tell me WHICH ONE
AU tu SHABBA RANKS na Deborahe Glasgow watie mguu kiatu cha kati kwa -DONT TEST ME
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kidogo umeniacha hapa.
Post a Comment