Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Dambisa MOYO!

>> Wednesday, January 19, 2011

Mdada ananikuna sana huyu,...

....ndiye anatekenya changamoto zangu wiki hii.:-(


Mdeku katika baadhi ya mambo kama una muda au tafuta vitabu vyake kama staili hiyo kwako inapanda....




Au..



Au....


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 7:47 pm  

kaka nimempata nimshawishi na mtashi anajiamini nami amenivutia!

EDNA 8:34 pm  

Duuuh! huwezi amini nimekaa lisaa lizima kwenye blog yako nikimsikiliza huyu mdada anavyotoa darasa la bure...Mtakatifu leo umenikuna.

Mzee wa Changamoto 6:08 am  

Duh!!!

Simon Kitururu 2:35 pm  

@Rachel:Si utani anajiamini sana na napenda anavyokwenda tofauti na wasomi wengi wafikiriavyo.

@Edna:Mdada Mkali!
@Mzee wa Changamoto: Karibu tena Mkuu! ZA kupotea?

Anonymous 12:53 am  

Amenikuna hata. Asante sana bro

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP