Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UASI!

>> Tuesday, January 18, 2011

Staili zipo,...
.....VITU VIPO,....
...na mifumo ipo,....
..... na kwa wengi kutunza vitu VILIVYO ndio waonacho ndio usahihi wa kitu,....
.... kitu kifanyacho watakao kubadili CHAMA CHA SIASA, staili ya ngono katika kula ngoma, MIFUMO YA UCHUMI , elimu  au tu fikira,....
... kwa wale waliozoea KITU, mfumo au tu mambo yalivyo ,...
.... watakao kubadili kitu kinamna  ni WAAASI!:-(


Na kama kuna kitu  CHOCHOTE unataka kubadili hata MAISHANI MWAKO tu,...
.... kimtazamo fulani labda wewe kuna kitu UNAASI!:-(







Swali:
  • SI unajua mambo yalivyo hata kama muumiaji ni wewe  kuna watu HIVI YALIVYO ndio poa kwa kuwa ndivyo walivyozoea au tu ndio wafaidivyo MFUMO na  kwa mtu kubadili kitu kwao kifanyikacho ni UASI?

Ndio,...
.... labda wewe KINAMNA  ni MUASI,...
... kwa kuwa kunakitu labda UMEBADILI au unania ya kubadili .:-(


Nawaza tu hapa MHESHIMIWA!


Hebu Ali Kiba alainishe hoja kwa kubadili hoja kwa  ndude -Mali YANGU







Au tu Mchungaji MUNISHI aongezee ugumu hoja KWA MTAZAMO WAKE katika ngoma nzito -Maji yana MDUDU:-(





 BOb Marley aingilie shughuli tena kwa shule tofauti kidogo -Stiff Necked Fools










Au tu aongezee tu na -Bad Card






TUKO PAMOJA SOLJA!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP